Yanga yapeleka utetezi FIFA katika skendo ya kujiingiza katika siasa

Yanga yapeleka utetezi FIFA katika skendo ya kujiingiza katika siasa

... utetezi wa Yanga unasema Rais wao Hersi Said hakupata idhini ya viongozi wenzake.
Inawezekana ni kweli Hersi alikurupuka maana kuna vitu vingi tu huwa anavifana peke yake, sema tu vikitiki anapewa sifa na vichache vilivyofeli havikuwa na ipact kubwa kuitikisa klabu, tofauti na hili la chama, Lakini kuna lile la kuweka hadharani katika official pages za klabu, kwanza walianza na harambee halafu ikaja ya kuomba radhi, baada ya siku mbili wakaziondoa instagram. Je, hivyo vilivyowekwa instagram, viliwekwa pia na Hersi kwa kukurupuka au vilipata baraka za uongozi wote?
 
Mimi naomba fifa wampige stop hersi ya kutojihusisha na soka mwaka mmoja iwe fundisho kwa machawa wengine

Lakini pia fifa waufungie uwanja wa mkapa kwa mapicha ya mama Samia kuzidi kuwa mwengi kuliko hata idadi ya mashabiki
Labani og atalia sana na kupiga yowe
 
Hersi aliihonga Ccm kupitia Yanga ili lengo lake la kupata nafasi kwenye siasa kupitia Ccm litimie, amejaribu mara mbili kuomba nafasi ya ubunge kaliwa kichwa, kinachosikitisha ni uchu wake wa madaraka aliposkia Ndugai kafa kabla hata hajazikwa akawahi fomu.

Mimi kama Mangungu nasema kupitia vielelezo hivi ni wazi kuwa Yanga inajihusisha na siasa moja kwa moja kupitia Rais wao wa Club Hersi na kwa mchango wa Million 100 uliotolewa na Yanga kwenda Ccm kwaajili ya shughuli za kisiasa.

Tunaiomba FIFA itoe adhabu kali kwa Hersi na Club ya Yanga ili kunusuru mpira wa Tanzania.
 
Mkuu fifa alisimamishwa sepp blater, leo hii yanga mkuu, kuna fifa na caf, fifa wakikuvalia njuga hutoboi



Fullstop, kwishaaaaaa
FIFA na CAF hawana shida sana na siasa, tena huwa wanashirikiana na viongozi wowote hata makatili sana, watashughulika endapo kiongozi hapendwi au hatakiwi na EU na US tu.
 
Jamaa ana akili sana.
Ilo baadaye asije kukataa kwamba alichanganya maneno.
aibu kabisa Raisi wa Club hajui sheria, nazidi kuiamini kauli ya Haji Manara. isivyo bahati raisi wa yanga siyo Jakaya Kikwete siyo Mzee Manara ni Bwa. Hersi (ambaye hana akili according to El bugatti principle)
 
aibu kabisa Raisi wa Club hajui sheria, nazidi kuiamini kauli ya Haji Manara. isivyo bahati raisi wa yanga siyo Jakaya Kikwete siyo Mzee Manara ni Bwa. Hersi (ambaye hana akili according to El bugatti principle)
Mara mia hata Manara awe Rais
Huyu Jamaa Bure kabisa
 
Baada ya FIFA kuilima barua Yanga kuhusiana na kitendo chake cha kuichangia na kutoa sapoti ya wazi kwa chama cha siasa, inasemekana utetezi wao umejikita katika kukosekana kwa ushahidi wa kikao kilichofanya maamuzi hayo na pia kukosekana kwa stakabadhi za malipo hayo.

Binafsi najiuliza, hivi huu ujinga wa kiwango hiki watu wanazaliwa nao au wanajifunza?

Sheria ya FIFA haiangalii wala haijali mambo ya vikao vya ndani au risiti za malipo maana issue kubwa ni kuingiza taasisi ya mpira katika shughuli za kisiasa kwa kuegemea upande mmoja. FIFA wanajua na kuamini katika scenario kama hii, sapoti ya mdomo ni muhimu na kubwa kuliko pesa yoyote ambayo klabu inaweza kuitoa kwa chama cha siasa.

Cha kushangaza zaidi, utetezi wa Yanga unasema Rais wao Hersi Said hakupata idhini ya viongozi wenzake. Embu tujiulize, Baraza la Wadhamini la Yanga lina kina nani? Yaani kina Mkuchika, Mama Karume, Mwigulu na Mavunde ndiyo wamzuie Hersi kuichangia CCM? Mbona hapa nawaona ngedere, sokwe, nyani na tumbili. Au kina Ali Kamwe na Privaldinho ndiyo wangeenda kumzuia Hersi asichangie CCM?

Hawa watu wanadhani ujinga unaambukizwa.
Hersi abanwe kende vizuri aeleze hizo pesa alizowapa ccm amezitoa wp?
 
Mara mia hata Manara awe Rais
Huyu Jamaa Bure kabisa
Unàanza Uzi wewe unakuja na multiple IDs kujijibu.
Mbona hujiamini wewe mwasibu fake
Ila OKWBOBANSUNZU una IDs kama 80 kujibu kila Uzi unaoanzisha
 
Back
Top Bottom