Ila kama mtakuwa hamjafungiwa na FIFA 😂😂Exactly 💯 brother kwenye kikao kijacho cha wanachama tutaongea nae
Kabisa brother 😃Ila kama mtakuwa hamjafungiwa na FIFA 😂😂
Kwa hiyo FIFAhawana wataalamu wa uchunguzi wa video zilizodukuliwa?😆😆 Huenda wenye akili wameisha hapo utopoloni hata wale wawili zimepinguaKatika utetezi wao wanasema pia ile video iliyosambaa ilidukuliwa na kwamba Hersi hakutamka maneno yale.
Wameambatanisha picha mbalimbali za kuonyesha GSM Foundation ikishirikiana na Yanga katika kutoa misaada kwa jamii. Utetezi wao ni kwamba Hersi alitamka ile milioni 100 inatoka kwa hiyo foundation ila wahuni wamedukua maneno yake.
Wanasema hata post iliyopo kwenye Instagram page ya Yanga ilitengenezwa na CCM wakawatag Yanga na kwamba wao hawana kosa maana siyo walioiandika.
Bado najiuliza, ujinga unaambukizwa?
Punguza upumbavu na acha kuparamia watu hovyoNimekwambia punguza IDs zako nyingi
Kwanini unaanzisha mada halafu unakuja kujijibu na IDs tofauti tofauti
Kumbe jambo lipo serious hiviBaada ya FIFA kuilima barua Yanga kuhusiana na kitendo chake cha kuichangia na kutoa sapoti ya wazi kwa chama cha siasa, inasemekana utetezi wao umejikita katika kukosekana kwa ushahidi wa kikao kilichofanya maamuzi hayo na pia kukosekana kwa stakabadhi za malipo hayo.
Binafsi najiuliza, hivi huu ujinga wa kiwango hiki watu wanazaliwa nao au wanajifunza?
Sheria ya FIFA haiangalii wala haijali mambo ya vikao vya ndani au risiti za malipo maana issue kubwa ni kuingiza taasisi ya mpira katika shughuli za kisiasa kwa kuegemea upande mmoja. FIFA wanajua na kuamini katika scenario kama hii, sapoti ya mdomo ni muhimu na kubwa kuliko pesa yoyote ambayo klabu inaweza kuitoa kwa chama cha siasa.
Cha kushangaza zaidi, utetezi wa Yanga unasema Rais wao Hersi Said hakupata idhini ya viongozi wenzake. Embu tujiulize, Baraza la Wadhamini la Yanga lina kina nani? Yaani kina Mkuchika, Mama Karume, Mwigulu na Mavunde ndiyo wamzuie Hersi kuichangia CCM? Mbona hapa nawaona ngedere, sokwe, nyani na tumbili. Au kina Ali Kamwe na Privaldinho ndiyo wangeenda kumzuia Hersi asichangie CCM?
Hawa watu wanadhani ujinga unaambukizwa.
Hersi ni corrupt sana ila kinachomuokoa ni vitu viwili.Inawezekana ni kweli Hersi alikurupuka maana kuna vitu vingi tu huwa anavifana peke yake, sema tu vikitiki anapewa sifa na vichache vilivyofeli havikuwa na ipact kubwa kuitikisa klabu, tofauti na hili la chama, Lakini kuna lile la kuweka hadharani katika official pages za klabu, kwanza walianza na harambee halafu ikaja ya kuomba radhi, baada ya siku mbili wakaziondoa instagram. Je, hivyo vilivyowekwa instagram, viliwekwa pia na Hersi kwa kukurupuka au vilipata baraka za uongozi wote?
Hio barua ipo wapi wewe mbumbumbu mbona maneno mengi kuliko maelezokuna ukweli kwenye hili?
Huyu jamaa ana hisia kali sana juu ya Yanga na anajua timu yao mbovu hawawezi ku battle na Yanga uwanjani njia pekee iliyo baki ni majunguMtoa mada ni mzushi tu. Aweke hiyo barua hapa badala ya kutuletea habari zake za kwenye vijiwe vya kahawa.
Tarehe 16 sio mbali endeleeni kujenga timu tukianza kugawa vipigo mfurulizo hatutaki lawamaKwa hiyo FIFAhawana wataalamu wa uchunguzi wa video zilizodukuliwa?😆😆 Huenda wenye akili wameisha hapo utopoloni hata wale wawili zimepingua
FIFA hawafanyi mambo ya kijinga kama nyie mnaoletewa Manzoki kwenye uchaguziSasa video ipo wazi unadhani FIFA watahitaji risiti?. Risiti ya nini?
Simple.Utetezi wao unachekesha bila shaka uliandaliwa na mawakili wao wanaoshindwa kesi Kila siku.
Kama injinia alitoa kauli bila kuhusisha vikao vya yanga wamenchukulia hata gani?
FIFA hawawezi kuwapa huo muda kumbe ndio maana kesi zenu mnashindwa kama hizo ndio akili zenu?Simple.
Tutawajibu kua tunasubiri mkutano mkuu utakaofanyika mwaka huu, tupendekeze apelekwe kwenye kamati ya maadili, huko tutaelekeza (nyuma ya pazia) asamehewe kwa kupewa karipio kali na kutakiwa kuandika barua ya kuomba msamaha wa kinafiki.
Ikitupendeza tutaongea na CCM kuwa tutawaandikia barua ya kinafiki kua turudishiwe mchango wetu.
Sasa wewe ulitakajeBaada ya FIFA kuilima barua Yanga kuhusiana na kitendo chake cha kuichangia na kutoa sapoti ya wazi kwa chama cha siasa, inasemekana utetezi wao umejikita katika kukosekana kwa ushahidi wa kikao kilichofanya maamuzi hayo na pia kukosekana kwa stakabadhi za malipo hayo.