Yanga yapeleka utetezi FIFA katika skendo ya kujiingiza katika siasa

Yanga yapeleka utetezi FIFA katika skendo ya kujiingiza katika siasa

Kama ni kweli kwa kuwa Yanga wenye akili ni wabe.... hasira zote zitahamishiwa unyamani utafikiri wao ndo wameiandikia FIFA barua
 
Mjinga ni wewe ambae umeandika bila kutuonesha hizo barua, ya FIFA na Yanga. Hii nchi bado ina wajinga wengi sana.
 
Unàanza Uzi wewe unakuja na multiple IDs kujijibu.
Mbona hujiamini wewe mwasibu fake
Ila OKWBOBANSUNZU una IDs kama 80 kujibu kila Uzi unaoanzisha
Upo timamu kweli Mkuu?
Unaweza kutoa maoni yako pasi na kubugudha ya kwangu
 
Upo timamu kweli Mkuu?
Unaweza kutoa maoni yako pasi na kubugudha ya kwangu
Nimekwambia punguza IDs zako nyingi
Kwanini unaanzisha mada halafu unakuja kujijibu na IDs tofauti tofauti
 
Andaeni timu, FIFA hawana muda wa kuhangaika na vyama vya Siasa.
Watu pekee wanao weza kuwashtaki/tuhumu Yanga ni FA ambaye Ndie mwanachama wao.

Ata klabu ili kuishtaki Yanga ni lazima wapitie FA kuelekwa FIFA.

Mtakapo kua mna kandwa kwenye Ngao ya Jamii FIFA hawatakuwepo na mbumbumbu fc wenzako watakuona mpuuzi.
 
😃😃Kaka kwema 😃 sema hii soon tunaweza kufungiwa aisee ni hatari sana injinia alichofanya ile siku
Jifunzeni kumwajibisha na hata wanachama kumtolea matamko mazito, next time atatumia akili na kupata consent ya board. Inaonekana anajiamlia tu, kwa mtu mwenye akili za kuungaunga kama zake hiyo ni risk
 
Katika utetezi wao wanasema pia ile video iliyosambaa ilidukuliwa na kwamba Hersi hakutamka maneno yale.

Wameambatanisha picha mbalimbali za kuonyesha GSM Foundation ikishirikiana na Yanga katika kutoa misaada kwa jamii. Utetezi wao ni kwamba Hersi alitamka ile milioni 100 inatoka kwa hiyo foundation ila wahuni wamedukua maneno yake.

Wanasema hata post iliyopo kwenye Instagram page ya Yanga ilitengenezwa na CCM wakawatag Yanga na kwamba wao hawana kosa maana siyo walioiandika.

Bado najiuliza, ujinga unaambukizwa?
Hawana Akili huo upumbavu watawadanganya wabongo wajinga wajinga sio wazungu wa ulaya ,
 
Baada ya FIFA kuilima barua Yanga kuhusiana na kitendo chake cha kuichangia na kutoa sapoti ya wazi kwa chama cha siasa, inasemekana utetezi wao umejikita katika kukosekana kwa ushahidi wa kikao kilichofanya maamuzi hayo na pia kukosekana kwa stakabadhi za malipo hayo.

Binafsi najiuliza, hivi huu ujinga wa kiwango hiki watu wanazaliwa nao au wanajifunza?

Sheria ya FIFA haiangalii wala haijali mambo ya vikao vya ndani au risiti za malipo maana issue kubwa ni kuingiza taasisi ya mpira katika shughuli za kisiasa kwa kuegemea upande mmoja. FIFA wanajua na kuamini katika scenario kama hii, sapoti ya mdomo ni muhimu na kubwa kuliko pesa yoyote ambayo klabu inaweza kuitoa kwa chama cha siasa.

Cha kushangaza zaidi, utetezi wa Yanga unasema Rais wao Hersi Said hakupata idhini ya viongozi wenzake. Embu tujiulize, Baraza la Wadhamini la Yanga lina kina nani? Yaani kina Mkuchika, Mama Karume, Mwigulu na Mavunde ndiyo wamzuie Hersi kuichangia CCM? Mbona hapa nawaona ngedere, sokwe, nyani na tumbili. Au kina Ali Kamwe na Privaldinho ndiyo wangeenda kumzuia Hersi asichangie CCM?

Hawa watu wanadhani ujinga unaambukizwa.
Barua iandikwe jana then leo utetezi, FIFA hawafanyi hivyo kazi, unaweza kuta hata hiyo barua haijasomwa na hiyo barua inaweza ikatupiliwa mbali au kama maamuzi yake yakatoka mwakani.Mnadanganyana na story za vijiweni.
 
Yanga, utetezi wao haitoboi. Ukizingatia mawakili wao ndiyo wale wa CCM wanaotegemea Mahakama ipewe maelekezo na ikulu.

Huko watakuwa wanaulizana, huyo mfanya maamizi huko FIFA hawezi kuhongwa?
 
Muda wa kumlaumu Mangungu unakaribia, hizi furaha fake mnazotengeza zitawafika mwisho
Anyway derby ni tarehe 16/September/2025
Hesabu Bado siku ngapi na timu lako wako Egypt wanatekenyana kwenye swimming pool
yule msomali Bwa. Hersi hana akili (according to el bugatti principle)
 
Matusi yanayokutoka yanathibitisha kwamba na wewe hauna akili according to el bugatti
 
Jifunzeni kumwajibisha na hata wanachama kumtolea matamko mazito, next time atatumia akili na kupata consent ya board. Inaonekana anajiamlia tu, kwa mtu mwenye akili za kuungaunga kama zake hiyo ni risk
Exactly 💯 brother kwenye kikao kijacho cha wanachama tutaongea nae
 
Back
Top Bottom