Vandetta
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 1,613
- 1,983
Hio barua ipo wapi wewe mbumbumbu mbona maneno mengi kuliko maelezo
Soma tena nilicho andika naona umehemkwa kizembe sana!!!
Hio barua ipo wapi wewe mbumbumbu mbona maneno mengi kuliko maelezo
Ulitaka wasijitetee ili FIFA iwapige ban au 😡mbona mna roho mbayaaa hivi nyie watu wa chademaBaada ya FIFA kuilima barua Yanga kuhusiana na kitendo chake cha kuichangia na kutoa sapoti ya wazi kwa chama cha siasa, inasemekana utetezi wao umejikita katika kukosekana kwa ushahidi wa kikao kilichofanya maamuzi hayo na pia kukosekana kwa stakabadhi za malipo hayo.
Binafsi najiuliza, hivi huu ujinga wa kiwango hiki watu wanazaliwa nao au wanajifunza?
Sheria ya FIFA haiangalii wala haijali mambo ya vikao vya ndani au risiti za malipo maana issue kubwa ni kuingiza taasisi ya mpira katika shughuli za kisiasa kwa kuegemea upande mmoja. FIFA wanajua na kuamini katika scenario kama hii, sapoti ya mdomo ni muhimu na kubwa kuliko pesa yoyote ambayo klabu inaweza kuitoa kwa chama cha siasa.
Cha kushangaza zaidi, utetezi wa Yanga unasema Rais wao Hersi Said hakupata idhini ya viongozi wenzake. Embu tujiulize, Baraza la Wadhamini la Yanga lina kina nani? Yaani kina Mkuchika, Mama Karume, Mwigulu na Mavunde ndiyo wamzuie Hersi kuichangia CCM? Mbona hapa nawaona ngedere, sokwe, nyani na tumbili. Au kina Ali Kamwe na Privaldinho ndiyo wangeenda kumzuia Hersi asichangie CCM?
Hawa watu wanadhani ujinga unaambukizwa.
Wameingia Kwenye Mfumo...!
Inaelezwa Yule Mc wa ile harambee ya CCM siku ile alitumwa Kazi maalum... ndo akajifanya hajasikia vizuri alichosema Bwa Hersi.
Bila kujua Hersi akaingia Kichwa kichwa Kurudia kuzitaja Vizuri zile 100M kuwa zinachangiwa kutokea 'Yanga'...!
Jambo pekee kwa Wanayanga kuchomoka hapo Labda waandae Maandamano ya Amani Wamkane Bwana Hersi kwamba 'hatumtaki'..!
Walitka ikubali makosa 😃Sasa wewe ulitakaje
HahahahaLakini pia fifa waufungie uwanja wa mkapa kwa mapicha ya mama Samia kuzidi kuwa mwengi kuliko hata idadi ya mashabiki
Wote lao moja kwamba simba wamechangia uchaguzi wa Mama Mama Mama....???Kesi ingekuwa nzito zaidi kama timu nyingine kama Simba wangelivalia njuga ila wamekaa pembeni maana wote lao moja.
Mimi naona cha Msingi ni Hersi ajiuzulu mapema kwa maslai mapana ya Club..Wameingia Kwenye Mfumo...!
Inaelezwa Yule Mc wa ile harambee ya CCM siku ile alitumwa Kazi maalum... ndo akajifanya hajasikia vizuri alichosema Bwa Hersi.
Bila kujua Hersi akaingia Kichwa kichwa Kurudia kuzitaja Vizuri zile 100M kuwa zinachangiwa kutokea 'Yanga'...!
Jambo pekee kwa Wanayanga kuchomoka hapo Labda waandae Maandamano ya Amani Wamkane Bwana Hersi kwamba 'hatumtaki'..!
Hahahah kwenye maarifa mpo sifuri labda kule uwanjaniTarehe 16 sio mbali endeleeni kujenga timu tukianza kugawa vipigo mfurulizo hatutaki lawama
Una ID ngapi we dadaSoma tena nilicho andika naona umehemkwa kizembe sana!!!
kimewarambaa...aaam aam....😃😃😃😃Akiileta iyo barua unitag,,Hawa mbumbumbu walichobakisha ni kuokoteza taarifa za kuwapa faraja angalau wapate pa kupumulia
Wewe ndiye mjinga. Tena mjinga sana. Utetezi wa Yanga u wapi ili tuiamini habari yako? GT bado tupo JFBaada ya FIFA kuilima barua Yanga kuhusiana na kitendo chake cha kuichangia na kutoa sapoti ya wazi kwa chama cha siasa, inasemekana utetezi wao umejikita katika kukosekana kwa ushahidi wa kikao kilichofanya maamuzi hayo na pia kukosekana kwa stakabadhi za malipo hayo.
Binafsi najiuliza, hivi huu ujinga wa kiwango hiki watu wanazaliwa nao au wanajifunza?
Sheria ya FIFA haiangalii wala haijali mambo ya vikao vya ndani au risiti za malipo maana issue kubwa ni kuingiza taasisi ya mpira katika shughuli za kisiasa kwa kuegemea upande mmoja. FIFA wanajua na kuamini katika scenario kama hii, sapoti ya mdomo ni muhimu na kubwa kuliko pesa yoyote ambayo klabu inaweza kuitoa kwa chama cha siasa.
Cha kushangaza zaidi, utetezi wa Yanga unasema Rais wao Hersi Said hakupata idhini ya viongozi wenzake. Embu tujiulize, Baraza la Wadhamini la Yanga lina kina nani? Yaani kina Mkuchika, Mama Karume, Mwigulu na Mavunde ndiyo wamzuie Hersi kuichangia CCM? Mbona hapa nawaona ngedere, sokwe, nyani na tumbili. Au kina Ali Kamwe na Privaldinho ndiyo wangeenda kumzuia Hersi asichangie CCM?
Hawa watu wanadhani ujinga unaambukizwa.
Una ID ngapi we dada
Hahahaaa. Lol.