Yanga yasajili mabeki wengi ili kumdhibiti Louis Micquisone

Rage ajengewe sanamu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Timu zetu za kariakoo achana nazo tusubirie msimu uanze kwenye kusajili Kuna shida sana

Timu pekee imefanya usajili Kwa uhakika n Azam tyr wameboresha kambi yao wanapiga tizi kinomaaa cc bado adi leo tunashindana na mausajili...
 
Hivi kweli umeamka asubuhi unaandika uzi kama huu.

Amka kamwage mkojo kwenye hilo kopo Kisha piga mswaki
Pana kaukweli kdgo ,, namnaongeza namba 6,, huoni Pana ukweli
 
Rage ajengewe sanamu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kuna watu wachache Sana wanaosababisha ionekane Simba ina watu wa ovyo. Simba ina watu makini Sana Ila kuna Mbumbumbu wachache na wengine kama 3 hivi humu JF. Hata Yanga wapo nadhani 2 nao akili zao wanapotoka huwa wanaachia familia.
 
Tatizo mna madingi humu mnachukulia michezo kama ibada full kununa. Hatuwezi kwenda hivyo. Michezo ni furaha, tena kuna utani wa jadi. Mambo ya Simba na Yanga ukiyachukulia hivyo utaumiza kichwa bila sababu.
 
Kweli, lengo la utani ni kufurahi
 
Tatizo mna madingi humu mnachukulia michezo kama ibada full kununa. Hatuwezi kwenda hivyo. Michezo ni furaha, tena kuna utani wa jadi. Mambo ya Simba na Yanga ukiyachukulia hivyo utaumiza kichwa bila sababu.
Okw mnakera wakati mwingine Bwana. Mtu unafungua Uzi ukidhani kuna cha maana unakuta mwenzio kaandika utopolo mtupu Hadi unajutia MB zako? Wewe binafsi unamwelewa Mtu anayeamini kuvaa No.6 lazima ucheze No.6 uwanjani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…