Yanga yasajili mabeki wengi ili kumdhibiti Louis Micquisone

Kila ukifatilia usajili wa wenzetu wa jangwani unaona wamesajili mabeki, mara Fred kutoka Uganda na sasa hivi beki kutoka Asec, hiyo ni kutokana na mawinga hatari waliopo Simba ss hv akiwemo Louis Micquisone, Kramo, Kibu Denis nk.

Kazi ipo msimu ujao
Rage ajengewe sanamu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Timu zetu za kariakoo achana nazo tusubirie msimu uanze kwenye kusajili Kuna shida sana

Timu pekee imefanya usajili Kwa uhakika n Azam tyr wameboresha kambi yao wanapiga tizi kinomaaa cc bado adi leo tunashindana na mausajili...
 
Rage ajengewe sanamu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kuna watu wachache Sana wanaosababisha ionekane Simba ina watu wa ovyo. Simba ina watu makini Sana Ila kuna Mbumbumbu wachache na wengine kama 3 hivi humu JF. Hata Yanga wapo nadhani 2 nao akili zao wanapotoka huwa wanaachia familia.
 
Tatizo mna madingi humu mnachukulia michezo kama ibada full kununa. Hatuwezi kwenda hivyo. Michezo ni furaha, tena kuna utani wa jadi. Mambo ya Simba na Yanga ukiyachukulia hivyo utaumiza kichwa bila sababu.
 
Kweli, lengo la utani ni kufurahi
 
Tatizo mna madingi humu mnachukulia michezo kama ibada full kununa. Hatuwezi kwenda hivyo. Michezo ni furaha, tena kuna utani wa jadi. Mambo ya Simba na Yanga ukiyachukulia hivyo utaumiza kichwa bila sababu.
Okw mnakera wakati mwingine Bwana. Mtu unafungua Uzi ukidhani kuna cha maana unakuta mwenzio kaandika utopolo mtupu Hadi unajutia MB zako? Wewe binafsi unamwelewa Mtu anayeamini kuvaa No.6 lazima ucheze No.6 uwanjani?
 
Back
Top Bottom