Yanga yasimamisha maandamano msikiti wa Makonde kupisha Adhana

Mzee MS hukuwahi kuwasikia Wazanzibar wanavyowasema Vibaya Watanganyika?! Hukuwahi kusoma mitandaoni chuki inavyoonyeshwa?

Katika Jamii zetu hizi mbili Kuna baadhi kila upande huona upande mwingine kuwa hawafai. Mimi siwezi kuwa mnafiki nikatetea hawa na nikawaacha wale kwa kuwa si Watanganyika wenzangu.

Kuna Wazanzibari wanaishi vyema na Watanganyika huko Zanzibar na wapo Watanganyika wanaishi vizuri na Wazanzibari huko Zanzibar. Ndiyo maana utawapata Wazanzibari mpaka Rukwa, Mwanza au Tarime huko.

Tujitahidi kuyaona haya katika namna Bora sana kuliko kuchukua upande kila mara. Mimi nipo 40+ najitahidi nisiwe chachu ya kuwagombanisha Watu au kuwa shabiki wa upande Fulani, maana maisha haya mafupi.
 

Dah, .. hii ndiyo historia ya nchi yetu?!
 
Dhana ya kuheshimu uhuru wa wengine ni ngumu sana kwetu wanadamu.

Kuna siku nasikiliza CNN, wanacover namna LGBT wananyanyasika kwenye blacks community Marekani, sikutegemea kwa namna wao wanavyopigania BLM wawe wanalalamikiwa kunyanyasa wengine.
Kwani wewe ni msen ge?
 
Nasri....
Allah akujaze kheri kwa kunifunza kile nilichokuwa sikijui.
 
Nasri...
Nimefunzwa kutamka, "Adhana," kwa "dhal" hatutamki, "Azana," kwa "zal."

Hebu fanya rejea kwa wengine tupate uhakika.

Upo sahihi sheikh wangu, Adhan, kwa kiarabu ni أذان

Allah akujaze kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…