Yanga yatakiwa kumlipa Luc Eymael Sh. 340m, wakishindwa kufungiwa kusajili

Yanga yatakiwa kumlipa Luc Eymael Sh. 340m, wakishindwa kufungiwa kusajili

Bas luc eymael hajakosea kukuita MBWA sababu mimi nina ndugu mmoja ambae niwewe changaule.
Kweli Rage hajakosea kuwaita MBUMBUMBU. yaani hata haujui ukoo wako umetawala mbwa kibao. Pengine hata baba ysko ni Mbwa. Hakuna ukoo wenye ndugu mmoja ndugu zako ni mbwa
 
Kocha wa zamani wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa timu hiyo haijafungiwa kusajili madirisha matatu na Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) kwa kosa la kuchelewa kumlipa madai yake.

Na badala yake, Eymael ameiambia Mwanaspoti kuwa uamuzi uliotolewa na FIFA ni kuishinikiza Yanga kulipa madai yake ili isikumbane na adhabu hiyo.

Kauli hiyo ya Eymael imekuja muda mfupi baada ya mtandao mmoja wa Afrika Kusini kudai kuwa Yanga imefungiwa kusajili kwa madirisha matatu kwa kosa la kutomlipa kocha huyo.

"Nadhani walioandika taarifa hiyo wameripoti kinyume. FIFA walitoa uamuzi na pande zote tumejulishwa kwamba Yanga wanatakiwa kunilipa stahiki zangu ndani ya siku 45 na iwapo wakishindwa kufanya hivyo, kuna adhabu kubwa zaidi watapewa ikiwemo ya kufungiwa kusajili."

"Kwa hiyo hawajafungiwa kusajili. Wamejulishwa uamuzi wa kutakiwa kunilipa fedha zangu," alisema Eymael.
Katika watu wapuuzi wewe ni number moja
 
340m pesa ndogo sana kwa taasisi kubwa kama yanga, italipwa na mambo yataenda sawia
 
Back
Top Bottom