Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Bro, acha kujitoa akili. Unajitahidi sana kupotosha maana ya sentensi ile kwenye barua ile.Leta kwa Kiswahili mzee, h inalainisha maana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro, acha kujitoa akili. Unajitahidi sana kupotosha maana ya sentensi ile kwenye barua ile.Leta kwa Kiswahili mzee, h inalainisha maana.
UUnajua taratibu za kuhaihirisha mechi? Simba wamegomea mechi kabla ya TFF kutoa tamko!! Tafsiri nyepesi ni Bodi ya ligi ni DHAIFU haijui chakufanya!!.
zs
Nipe kwa Kiswahili mzee wangu acha kuzungukazungukaBro, acha kujitoa akili. Unajitahidi sana kupotosha maana ya sentensi ile kwenye barua ile.
Aliyeahirisha mechi kasema ameahirisha sababu Simba amesusa? Mbona mzito sana? Embu soma barua hiyo kwanini mechi imehairishwa."Hahaha, kususa kunahusiana vipi na kuhairishwa kwa mechi?" Hili swali unaniuliza mimi? Nilitegemea wewe ndiye utoe jibu la swali hili....... naona kama unajishagaa mwenyewe.
Ni kweli kabisa Simba waliwatuma mabaunsa🤣🤣🤣Hii ngoma Simba waliipanga. Waliisuka kabisa iwe hivi ilivyokuwa na walikuwa dhahiri wana backup ambayo ni TFF.
Waende tu mkuu.Hivi kuangukia pua kesi zilizopita kunakufanya usidai kile unachoamini ni haki kwenye kesi zingine?
We ni kiaziNipe maelezo ya hiko kifungu, mliposusa mlipost vifungu vya TFF ,wapi walipo andika timu ikishindwa kufanya mazoezi isusie mechi. "Hilo neno sababu mbalimbali.......: ni sawa bodi na TFF kukubali kuwa madalali wenu.
Wenye akili wapo wanacheza na nishati huko kwenye space. Mtanganyika kama wewe unajua hata akili inavyofanana? Upo kijiweni mitandaoni unapiga lomoni ya soka.Huna akili
Bodi ya ligi na TFF wamekula njama ili kuharibu uchaguzi mkuu baadaye mwaka huuAwamu hii tunashikilia hapo hapo. Hakuna kupelekeshwa na wahuni ktk mpira wetu.
Hahaha.Hizo 3pointi hazipo, Bodi ndiyo iliinyang`anya Yanga maksudi. Simba wanamakosa,na kwa mbali na si kwa umuhimu Yanga nao wanamakosa, ila Bodi imejitwika makosa ya Simba. Sasa msuluhishi akiwa ana makosa dhidi ya wasuluhishwa nini kitatokea? Hapo Bodi itatumia ukubwa wake kujibeba na kuibeba Simba maksudi. Mchezo utapangiwa siku nyingine na utachezwa Yanga atashinda na stori itakuwa,"mlisusa mkitafuta haki,haki mmeipata na kufungwa mmefungwa,si bora mngecheza tu hiyo march 8" nimemaliza.
Sentensi hii watu wengi wanaitumia kwa kuiga au hawajui maana yake mkuu.Nimependa hapo mwishoni ety
Mwisho, lakini sio kwa umuhimu
Kwamba wanasoka hamna umuhimu kuombwa radhi 😂
Mkuu kwa hoja unazotoa kama kuna mtu atakuwa hajaelewa basi ana shida zake binafsi za low IQ.Ukiulizwa Simba walisusia mechi ipi utasemaje? Au utakuja na barua ya Simba kwa uma? Ukija nayo utarudishwa kwenye kanuni na kupewa tafsiri ya Kususa mechi halafu hapo ndipo utakapoangukia pua.
Mkuu unadhani hawaelewi? Mambo ya Soka huwa tunajitoa ufahamu tu.Mkuu kwa hoja unazotoa kama kuna mtu atakuwa hajaelewa basi ana shida zake binafsi za low IQ.
Ile barua aliandika mliyo posti? Yanga kishamiliza mtajuana na bodi, halafu nyie si mmegomea mechi zote.Ieleweke kwamba simba hakugoma ila mechi ndo imeahirishwa