Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Teh teh teh! Tumeshazoea hayo maneno, siku zote huwa wanatua kishujaa halafu wanapigwa magoli kama wamesimama
wanachezaga Ijumaa wale waweza kuta YANGA keshapakatwa Vibaya mno hukoo Massr
Labda wametua na maparachute baada ya ndege kukorofisha
mc tilly hizo ni mbwembwe za magazeti ya makanjanja wa bongo wenye porojo nyingi ili tu magazeti yao yauzikedr nisaidie kunielewesha kutua kishujaa ndio kutua vipi?unaruka dirishani bila kufa kabla ndege haijafika chini?