Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
soka la bongo hovyo kabisa,maneno mengiiii!sasa kutua kishujaa ndio kutuaje?ndege ilitaka kulipuka?!ndio maana kila siku tunafungwa tuuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh teh! Tumeshazoea hayo maneno, siku zote huwa wanatua kishujaa halafu wanapigwa magoli kama wamesimama
wanachezaga Ijumaa wale waweza kuta YANGA keshapakatwa Vibaya mno hukoo Massr
Labda wametua na maparachute baada ya ndege kukorofisha
mc tilly hizo ni mbwembwe za magazeti ya makanjanja wa bongo wenye porojo nyingi ili tu magazeti yao yauzikedr nisaidie kunielewesha kutua kishujaa ndio kutua vipi?unaruka dirishani bila kufa kabla ndege haijafika chini?