!!!!!!..yanga yatua misri kishujaa

!!!!!!..yanga yatua misri kishujaa

Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
4,641
Reaction score
3,680
soka la bongo hovyo kabisa,maneno mengiiii!sasa kutua kishujaa ndio kutuaje?ndege ilitaka kulipuka?!ndio maana kila siku tunafungwa tuuu!
 
Teh teh teh! Tumeshazoea hayo maneno, siku zote huwa wanatua kishujaa halafu wanapigwa magoli kama wamesimama
 
Tuna wachezaji wazuri ila uongozi wa kifisadi ndio tabu kubwa!
Na dawa yao ni kutengua serikali tawala.(sisiem) ni janga kwa Taifa letu!

waking'atuka madarakani kila kitu itakuwa SWAFIIIII!!
 
hiyo ni heading nimeitoa ktk gazeti mtanzania!nimepata shida sana kupata picha "kutua kishujaa" ndio kutuaje!dah!
 
Teh teh teh! Tumeshazoea hayo maneno, siku zote huwa wanatua kishujaa halafu wanapigwa magoli kama wamesimama

dr nisaidie kunielewesha kutua kishujaa ndio kutua vipi?unaruka dirishani bila kufa kabla ndege haijafika chini?
 
wanachezaga Ijumaa wale waweza kuta YANGA keshapakatwa Vibaya mno hukoo Massr
 
kaeni mkao wa kula wazee!nitawaletea link ya kucheki game ktk net wakati muafaka!hakikisheni pc,laptop zenu zina mb za kutosha!mi huwa naweka mb 400 za airtel za sh 2500 zinatosha game zima na kubaki!
 
Labda wametua na maparachute baada ya ndege kukorofisha
 
Mi nadhani watakua wametua kwa sarakasi na karate nyingi huuuuuuuu haaaaaaaaa huku wamekunja sura kama bruce lee.
 
Back
Top Bottom