ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Yanga tumefungwa mara nne mfululizo na tulikuwa tunapata pressure kutoka Kwa media na mashabiki wengi
Sasa tumewapa mtego wa Manara amkane Eng Hersi na wengi wamejaa
Na Sasa uongozi una Fanya mabadiliko madogo bila s pressure
Mosi, Timu imehamia KMC complex ila wengi hawajali wapo busy na Manara😆
Next week tunamsajili coach mpya, baada ya Gamondi ku fail kimbinu na management ya timu Kwa ujumla ila wengi hawajali wapo busy na Manara
Nawatoa usingizini tena, Manara hawezi kuwa na uhasama na Eng Hersi aliyemstiri baada ya kufurushwa Simba na Babra na Mo
Yaani Manara awe na urafiki na GSM huku hawaongei pamoja na Hersi 😆
Week ijayo j3 tutaleta propaganda nyingine itakayofunika utambulisho wa coach, yaani tunaweza kusema Pacome max na mudathir wanahamia Simba, na makolo wakajaa tunafanya mambo yetu