Yanga yatumia mtego wa Manara tena, na wengi wamejaa

Kwani wasingeweza kufanya mabadiliko bila ya huo uliouita mtego wa Manara kumkana Hersi? Nini kingezuia? Kama waliweza kumsajili Okra na Mkude walioachwa Simba, na baadae Baleke, na nimeambiwa na Jobe anakuja, bila kuweka mtego, watashindwaje kuhamia KMC bila hicho ulichoandika?

Hivyo ni vitu viwili tofauti. Manara kusema hasalimiani na Gamondi wala miezi miwili kuongea na Hersi, hiyo imeingia kwenye kumbukumbu kama jambo linalojitegemea
 
DOgo hapa umechemka. Ni kwamba hujui kinachoendelea. Nyamaza sisi tunajua yaliyoko ndani na mchawi tushampata. Wala mchawi huwa hatoki mbali. Hapo hapo tu jirani kwako. Hakuna any propaganda msitumie hili neno vibaya. Kaa kitako subiri.
 
Hukusomea Cuba
 
DOgo hapa umechemka. Ni kwamba hujui kinachoendelea. Nyamaza sisi tunajua yaliyoko ndani na mchawi tushampata. Wala mchawi huwa hatoki mbali. Hapo hapo tu jirani kwako. Hakuna any propaganda msitumie hili neno vibaya. Kaa kitako subiri.
Yanga bingwa
 
Utopolo ilivyojichokea inamtego gani? Labda mtego wa kuloga kwenye mageti na pitch
 


mnalalamika kuwa soka la TZ halikuwi kila siku ila bado mnaendekeza mawazo ya kiajabu.. hivi team kufungwa ni ajabu..team zinafungwa mechi karibu tano mfululizo.. hebu jiulize Yanga kufungwa hizo mechi mbili imewapunguzia nini kwenye mapato yao. au itawaharibia nini kihasibu.. team zote dunian zinajua kuna kupoteza na kushinda..


kama ni kweli viongozi wa yanga ndio wanafikra hizi basi na wao ni sehemu ya wale wanaodumaza mpira.. ila najua haiwezekani .. hawawez kutengeneza drama za kipuuzi kwa kupoteza mechi mbili au eti kupunguza sijui pressure wakat wanafanya maboresho ya team.. kwa faida ya nani hasa.. kuna vitu vya kuvitengenezea drama ila sio hiki ..

ila nachoona mashabiki wa yanga hamtaki kuukubaliana na mambo anayosema manara.. its ok maana binadamu ambaye anakosa self-esteem akiona kuna changamoto zinazomkwaza anatafuta kivuli cha kujifariji.. atabishana hata na nafsi yake.. badala ya kulichukulia jambo positive. atatafuta sababu za kujifariji.. manara na hersi wote ni binadamu sio malaika kwa hiyo inawezekana wao kupishana. na pia kufungwa hakuna team isiyo fungwa... basi ingekuwa hivyo wangetenezea drama walipotolewa mwaka jana robo fainali... sio kwenye ligi ambayo hata nusu ya kwanza haijakwisha

sio kila unachowaza ukitoe hadharani kuna mawazo mengine baki nayo... maarifa ni uwezo kujua kuwa NYANYA na Chungwa yote ni Matunda ila Busara ni kutolitumia chungwa kama mbadala wa Nyanya kwenye mboga...
 
Mkuu hii sindano ya ngapi umejidunga maana akili inaenda resi sana
 
Delusional. Hawaamini kinachitokea. Kila kitu kinaharibika Kwa wakati mmoja. Acha waendelee kujipa Moyo🤣😂😂
 
Kama
Kama unafanya jambo unashindwa na hutafuti jinsi ya kujinasua basi nalo ni tatizo
 
Yaan umejisokomeza mwiko then unashangaa????hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…