Yanga yawasili nchini saa 9 alfajiri wakitokea Afrika Kusini. Mashabiki wamekesha Airport

Yanga yawasili nchini saa 9 alfajiri wakitokea Afrika Kusini. Mashabiki wamekesha Airport

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Haijataja kutokea kwenye historia ya mapikezi ya timu ya soka Tanzania

Maelfu Kwa maelfu ya wapenzi wakesha usiku wakisubiri kuwasili kwa mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania.

1722313988638.jpg
1722313984763.jpg
1722313982014.jpg
1722313978710.jpg
 
Hawa wajinga wapo tayari kukesha ajili ya mpira na siyo ajili ya Tanzania ya miaka 50 ijayo, CCM wajanja sn wanajua wajinga wengi wapo kwenye mpira ndiyo maana wamewekeza huku wajinga wajikite na mpira mafisadi yapige pesa za umma.
Duh! Itabidi niache kushabikia mpira.

Hii hali ya hızı akili si ya kawaida. Kuna shida kwenye “mbongo” za watanzania wengi.
 
Duh! Itabidi niache kushabikia mpira.

Hii hali ya hızı akili si ya kawaida. Kuna shida kwenye “mob go” za watanzani wengi.
No usiache lakini usiwe mtumwa wa mpira, ni ngumu sn kukuta kusanyiko la vijana/wazee wa kitanzania wanajadili maswala ya nchi yao zaidi ya mpira, pool table, alkasusi, pombe, uzinzi, kubet, umbea n.k, mwambie Mwenyekiti wa mtaa aitishe mkutano wa mtaa kuja kujadili maendeleo ya mtaa kama utawaona zaidi sn watakuja akina mama wazee. kuna shida kubwa sn
 
Ukiona mtu mzima kabisa muda wote yeye stori zake ni za simba na yanga ndugu mkimbie hamna mtu hapo, kuna broh mmoja napiga nae mzigo kila mara yeye Yanga yangaa yangaaa ,
Namuona mswahili na mjinga flani hivi hawazi kingine chochote ni umbea wa yanga tuuu na majungu

Tena kaenda mbali zaidi mpaka nae kawa mchambuzi, lakini ukimuuliza hata kinaendelea nini Nchini anakutolea mijicho tu
 
Hawa wajinga wapo tayari kukesha ajili ya mpira na siyo ajili ya Tanzania ya miaka 50 ijayo, CCM wajanja sn wanajua wajinga wengi wapo kwenye mpira ndiyo maana wamewekeza huku wajinga wajikite na mpira mafisadi yapige pesa za umma.
Unajuaje kama wamelipwa je..wewe usongekesha!
 
Huu ni ujinga mtupu sijui ni kukosa kazi YANGA YANGA badala muweze mkate wa watoto wenu mnawaza litimu la kiswahili kama hili,kweli mashabiki mengi ya YANGA absolutely jobless.
Mm nikiacha kushabikia mpira baada ya kuona tunaenda kinyume na dunia. Yaani kitendo cha viongozi wa timu kuanzisha kampeni ya hamasa kuelekea mechi ni cha kipekee dunia nzima.

Hamasa kwa mashabiki!!? Mpira si unaoneshwa kwenye runinga? Sasa hamasa gani tena? Nikajua watanzania tunafanywa mazuzu kupitia mpira. Nikaacha ushabiki.
 
Back
Top Bottom