Yanga yawasili nchini saa 9 alfajiri wakitokea Afrika Kusini. Mashabiki wamekesha Airport

Yanga yawasili nchini saa 9 alfajiri wakitokea Afrika Kusini. Mashabiki wamekesha Airport

Hawa wajinga wapo tayari kukesha ajili ya mpira na siyo ajili ya Tanzania ya miaka 50 ijayo, CCM wajanja sn wanajua wajinga wengi wapo kwenye mpira ndiyo maana wamewekeza huku wajinga wajikite na mpira mafisadi yapige pesa za umma.
Alafu na bado wajinga hao hao watakashifu ulichoandika hapa bado tuna safari ndefu sana vitu vya kipumbavu mno ndo utaona kundi kubwa la watu wanatoa support ya maana.
 
No usiache lakini usiwe mtumwa wa mpira, ni ngumu sn kukuta kusanyiko la vijana/wazee wa kitanzania wanajadili maswala ya nchi yao zaidi ya mpira, pool table, alkasusi, pombe, uzinzi, kubet, umbea n.k, mwambie Mwenyekiti wa mtaa aitishe mkutano wa mtaa kuja kujadili maendeleo ya mtaa kama utawaona zaidi sn watakuja akina mama wazee. kuna shida kubwa sn
Hao hawana shuguli ya kufanya
Nawaonaga kama mazombie au misukule fulani

Ova
 
Hivi jamani hawa watu wanafanya kazi gani, maana mtu anakesha siku za kazi na uhakika kama ingekuwa hata Baba yake anakuja angeambiwa tu Baba chukua taxi tu airport si unajuwa kesho kazi na shule watoto. Lakini watu wengi wanaenda kukesha au wanapewa posho.
 
Serikali itoe tamko huu upuuzi wa Uto, watu wafanye kazi za uzalishaji badala ya kurundikana kwenye mambo ya kijinga
 
Hivi jamani hawa watu wanafanya kazi gani, maana mtu anakesha siku za kazi na uhakika kama ingekuwa hata Baba yake anakuja angeambiwa tu Baba chukua taxi tu airport si unajuwa kesho kazi na shule watoto. Lakini watu wengi wanaenda kukesha au wanapewa posho.
Hawa washabumbuwazwa
Hawana wanachofikiria
Hapo zaidi wakiwaona wakina hersi wanawapiga vizinga...
Wengi hapo wanaishi kwa mizinga tu

Ova
 
Kwa hivyo ajira msiwape na kifurahia mpira nao hamtaki?!
Kama una shuguli yako huwezi kuacha eti ukapokee team na syo kuipokea tu na kusukuma gari zao mpaka jangwani,

Ova
 
Siwezi enda kupokea timu saa9 usiku mkuu hata kama ingekuwa saa4 asbh siwezi huo muda Sina. Family yangu inalishwa na Mimi sio mpira huo
Lakini walioenda kupokea timu wametumia muda wao wa ziada!!!kwani extra time tunapangiana zitumikeje?!kwani Kwa kwenda kuipokea timu mambo yao yapi hayakuenda?! Kama ni Kula mbususu wamekula ndo wakaenda airport
 
Ukiona mtu mzima kabisa muda wote yeye stori zake ni za simba na yanga ndugu mkimbie hamna mtu hapo, kuna broh mmoja napiga nae mzigo kila mara yeye Yanga yangaa yangaaa ,
Namuona mswahili na mjinga flani hivi hawazi kingine chochote ni umbea wa yanga tuuu na majungu

Tena kaenda mbali zaidi mpaka nae kawa mchambuzi, lakini ukimuuliza hata kinaendelea nini Nchini anakutolea mijicho tu
Lakini unapiga nae mzigo? Kwamba kazi anafanya na pesa anapata, si ndio?
 
Hawa wajinga wapo tayari kukesha ajili ya mpira na siyo ajili ya Tanzania ya miaka 50 ijayo, CCM wajanja sn wanajua wajinga wengi wapo kwenye mpira ndiyo maana wamewekeza huku wajinga wajikite na mpira mafisadi yapige pesa za umma.
Kila mtu afanye anachokipenda, kama wewe unapenda harakati za siasa nenda kaandamane usiku kucha hakuna atakayekuuliza, katiba ya nchi inakuruhusu kuandamana au kufanya siasa.

Na WanaYanga waache na Yanga yao wafanye wanachokipenda. Wakikesha usiku kwa ajili ya kile wakipendacho wewe inakuuma nini?
 
Back
Top Bottom