Yanga yawasili nchini saa 9 alfajiri wakitokea Afrika Kusini. Mashabiki wamekesha Airport

Sikia msilikize immortal technique katika poverty of philosophy alafu msome Dr J. H Clarke - WHO BETRAYED The African World Revolution kuna muda tukubali sisi wajuaji sana kwani hao wenzetu hawana michezo kama sisi tena wao hata tennis tu uwanja unajaa ila kwenu?
Boss, achana na kuapply uzungu kwenye unafiki, utasalitika ujikute peke yako. Ukitaka mageuzi ya kweli anza na familia yako, ipande kwenye ukoo na kuendelea. Hakuna mtu wa nje aliye tayari kupoteza ili watoto wako wapate, kila mtu anataka utumike watoto na vizazi vyake wapate. Subiri anayekuambia ukeshe ukipigania uhuru apate hiyo nafasi ndo utaelewa.
 
Bora hata kumsubiria Rais wao kipenzi anaweza sema neno shida zao zikapungua.

Hao wanaokesha kusubiria Timu wako serious au wamelipwa? 😁😁
Hakuna tiba ya shida kama burudani. Yaani ukiwa na stress, ukapata jambo likauburudisha moyo na mwili ni tiba kabla ya ugonjwa. Au tuite kinga.
 
Kuamka saa nane usiku kwenda kupokea kilabu cha mpira nayo ni burudani??
 
Kwako na mm huenda siyo burudani. Ila ukiwatazama waliokwenda hapo nyuso zao zinaonyesha furaha au karaha?
 
Hata watu wanaotumia dawa za kulevya nyuso zao si huwa zinaonyesha furaha?!
 
Hapana. Wale wanakuwa kama wagonjwa hawana hata nguvu. Tafuta mfano mwingine.
 
Huu ni ujinga mtupu sijui ni kukosa kazi YANGA YANGA badala muweze mkate wa watoto wenu mnawaza litimu la kiswahili kama hili,kweli mashabiki mengi ya YANGA absolutely jobless.
Mkate tayari tunao,tuna uhakika. Shauri yako wewe mwenye strees na litimu lako la sanda. NB; haiwezekani kila Jambo liende inavyotaka wewe
 
Waumini wa nabii kiboko ya wachawi.
Wale huenda wanaburudika. Na burudani ina gharama zake. Ndo maana unamfungia huyo watakwenda kwingine na ukifuta ibada nchi haitatawalika, utapata upinzani mkubwa mno sawa na ukifuta vilabu vya mpira.
 
Hawa wajinga wapo tayari kukesha ajili ya mpira na siyo ajili ya Tanzania ya miaka 50 ijayo, CCM wajanja sn wanajua wajinga wengi wapo kwenye mpira ndiyo maana wamewekeza huku wajinga wajikite na mpira mafisadi yapige pesa za umma.
Ni timi gani ambayo huwa haipokelewi na mashabiki wake?
 
Hawa wajinga wapo tayari kukesha ajili ya mpira na siyo ajili ya Tanzania ya miaka 50 ijayo, CCM wajanja sn wanajua wajinga wengi wapo kwenye mpira ndiyo maana wamewekeza huku wajinga wajikite na mpira mafisadi yapige pesa za umma.
Ni timi gani ambayo huwa haipokelewi na mashabiki wake
 
Bora kuzaliwa Gugu maji kuliko kuwa mtanzania aisée tusemezane sasa wanapewa posho ? Ya kukesha
 
Hawa wajinga wapo tayari kukesha ajili ya mpira na siyo ajili ya Tanzania ya miaka 50 ijayo, CCM wajanja sn wanajua wajinga wengi wapo kwenye mpira ndiyo maana wamewekeza huku wajinga wajikite na mpira mafisadi yapige pesa za umma.
We miaka 50 ijayo utakuwepo? .......... hebu niondolee upuuzi wako hapa.
 
Hawa wajinga wapo tayari kukesha ajili ya mpira na siyo ajili ya Tanzania ya miaka 50 ijayo, CCM wajanja sn wanajua wajinga wengi wapo kwenye mpira ndiyo maana wamewekeza huku wajinga wajikite na mpira mafisadi yapige pesa za umma.

Nchi hii mambo ni mengi kweli kweli
Raha jipe mwenyewe hata kwa kukesha poa sana
 
Huu ni ujinga mtupu sijui ni kukosa kazi YANGA YANGA badala muweze mkate wa watoto wenu mnawaza litimu la kiswahili kama hili,kweli mashabiki mengi ya YANGA absolutely jobless.
Ni namna ya ku balance mambo Hata misri , afrika kusini , ulaya , amerika kusini kuna mashabiki sana wa Mpira na bado wakajadili na kufanya mambo muhimu ya nchi zao .

Kama wamelipwa kama vikundi vya utumbuizaji kwenda huko airport ni ajira .

Hizi comment ingependeza uzitoe na kwa wale wekundu ili tujue umedhamiria hasa hasa
 
Back
Top Bottom