Yanga yawasili nchini saa 9 alfajiri wakitokea Afrika Kusini. Mashabiki wamekesha Airport

Yanga yawasili nchini saa 9 alfajiri wakitokea Afrika Kusini. Mashabiki wamekesha Airport

Alafu na bado wajinga hao hao watakashifu ulichoandika hapa bado tuna safari ndefu sana vitu vya kipumbavu mno ndo utaona kundi kubwa la watu wanatoa support ya maana.
Tuache unafiki. Sisi tunaotaka kupigania nchi tumeipigania mara ngapi? Wakati wao wanapokesha wakiwapokea Yanga wewe unayetaka wapiganie nchi ulikuwa unafanya nini?
 
Huu ni ujinga mtupu sijui ni kukosa kazi YANGA YANGA badala muweze mkate wa watoto wenu mnawaza litimu la kiswahili kama hili,kweli mashabiki mengi ya YANGA absolutely jobless.
Wengine washaweka mkate mkuu,
Kila mtu ashinde mechi zake usiwapangie watu..
 
Kama mazuzu vile. Ukiyaambia yakeshe ofisi za bunge kulazimisha serikalini ibane matumizi hutapata hata mmoja. Unakesha kisha yanga sijui simba very stupid
 
Hawa wajinga wapo tayari kukesha ajili ya mpira na siyo ajili ya Tanzania ya miaka 50 ijayo, CCM wajanja sn wanajua wajinga wengi wapo kwenye mpira ndiyo maana wamewekeza huku wajinga wajikite na mpira mafisadi yapige pesa za umma.
Ndo ilivyo
 
Hivi hizi comments zinaandikwa na mashabiki wa timu gani?
Unafiki FC.

Uliza kati yetu hapa kama kuna aliyekesha kabeba bango la kupinga ufisadi.

Watu wamelala usiku mzima na wake zao wengine wamekesha bar, wengine usiku mzima wapo na malaya wengine wamekoroma mpaka asubuhi.
 
Hawa wajinga wapo tayari kukesha ajili ya mpira na siyo ajili ya Tanzania ya miaka 50 ijayo, CCM wajanja sn wanajua wajinga wengi wapo kwenye mpira ndiyo maana wamewekeza huku wajinga wajikite na mpira mafisadi yapige pesa za umma.
Waambie ukweli Hawa mapimbi! Eti mpira???
 
Chadema mmewekeza kwenye Nini? Kesha wewe kwa ajili ya tz, matamanio yako unataka ufanyiwe na watu wengine, fanya mwenyewe!
Hawa wajinga wapo tayari kukesha ajili ya mpira na siyo ajili ya Tanzania ya miaka 50 ijayo, CCM wajanja sn wanajua wajinga wengi wapo kwenye mpira ndiyo maana wamewekeza huku wajinga wajikite na mpira mafisadi yapige pesa za umma.
 
Tuache unafiki. Sisi tunaotaka kupigania nchi tumeipigania mara ngapi? Wakati wao wanapokesha wakiwapokea Yanga wewe unayetaka wapiganie nchi ulikuwa unafanya nini?
Utapigania nchi peke yako?
 
Hivi ni kweli unaweza kukesha kuwasubiria hao au unakuwa umelipwa Kwa kazi hiyo?
Hahaha, binadamu sisi jamani.. Hahaha.

Wewe unayeshangaa mtu kukesha akisubiria Yanga ndo wewe unayesifia mtu kushinda barabarani kwenye jua kali akisubiri kushangaa msafara wa raisi ukipita.
 
Hahaha, binadamu sisi jamani.. Hahaha.

Wewe Unayeshangaa mtu kukesha akisubiria Yanga ndo wewe unayesifia mtu kushinda barabarani akishangaa msafara wa raisi ukipita.
Kwa nini uache kazi uje kushangaa msafara? By the way hayana formula haya na labda ni msukumo wa moyo sijui kupenda na kutaka kujua au kuona.
 
Kwa nini uache kazi uje kushangaa msafara? By the way hayana formula haya na labda ni msukumo wa moyo sijui kupenda na kutaka kujua au kuona.
Sio wewe umewahi wapongeza waTanganyika wakimsubiri raisi kipenzi chao apite? Ok, huwa sikariri id huenda nimechanganya madesa.
 
Wanaokesha Bar wana pesa na maisha mazuri tayari na wakiwa Bar wanatengeneza dili na michongo mengine zaidi ya pesa, wanaokeshea kupokea timu za mpira usiku wa manane wengi wanywa visungura maisha ya kuungaunga ndio maana watu wanawashangaa.
Huko bar hakuna visungura??
 
Hao waliofika hapo uwanjani kila mtu alitoka kwake peke yake ndo wakakutana.
Sikia msilikize immortal technique katika poverty of philosophy alafu msome Dr J. H Clarke - WHO BETRAYED The African World Revolution kuna muda tukubali sisi wajuaji sana kwani hao wenzetu hawana michezo kama sisi tena wao hata tennis tu uwanja unajaa ila kwenu?
 
Sio wewe umewahi wapongeza waTanganyika wakimsubiri raisi kipenzi chao apite? Ok, huwa sikariri id huenda nimechanganya madesa.
Bora hata kumsubiria Rais wao kipenzi anaweza sema neno shida zao zikapungua.

Hao wanaokesha kusubiria Timu wako serious au wamelipwa? 😁😁
 
Back
Top Bottom