Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Boss, achana na kuapply uzungu kwenye unafiki, utasalitika ujikute peke yako. Ukitaka mageuzi ya kweli anza na familia yako, ipande kwenye ukoo na kuendelea. Hakuna mtu wa nje aliye tayari kupoteza ili watoto wako wapate, kila mtu anataka utumike watoto na vizazi vyake wapate. Subiri anayekuambia ukeshe ukipigania uhuru apate hiyo nafasi ndo utaelewa.Sikia msilikize immortal technique katika poverty of philosophy alafu msome Dr J. H Clarke - WHO BETRAYED The African World Revolution kuna muda tukubali sisi wajuaji sana kwani hao wenzetu hawana michezo kama sisi tena wao hata tennis tu uwanja unajaa ila kwenu?