Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Duh! Itabidi niache kushabikia mpira.Hawa wajinga wapo tayari kukesha ajili ya mpira na siyo ajili ya Tanzania ya miaka 50 ijayo, CCM wajanja sn wanajua wajinga wengi wapo kwenye mpira ndiyo maana wamewekeza huku wajinga wajikite na mpira mafisadi yapige pesa za umma.
Imagine saa tisa ya usiku!Huu ni ujinga mtupu sijui ni kukosa kazi YANGA YANGA badala muweze mkate wa watoto wenu mnawa litimu la kiswahili kama hili,kweli mashabiki mengi absolutely jobless.
No usiache lakini usiwe mtumwa wa mpira, ni ngumu sn kukuta kusanyiko la vijana/wazee wa kitanzania wanajadili maswala ya nchi yao zaidi ya mpira, pool table, alkasusi, pombe, uzinzi, kubet, umbea n.k, mwambie Mwenyekiti wa mtaa aitishe mkutano wa mtaa kuja kujadili maendeleo ya mtaa kama utawaona zaidi sn watakuja akina mama wazee. kuna shida kubwa snDuh! Itabidi niache kushabikia mpira.
Hii hali ya hızı akili si ya kawaida. Kuna shida kwenye “mob go” za watanzani wengi.
Unajuaje kama wamelipwa je..wewe usongekesha!Hawa wajinga wapo tayari kukesha ajili ya mpira na siyo ajili ya Tanzania ya miaka 50 ijayo, CCM wajanja sn wanajua wajinga wengi wapo kwenye mpira ndiyo maana wamewekeza huku wajinga wajikite na mpira mafisadi yapige pesa za umma.
Halafu itakuwaje kwa mke wako?!Nikifika huku mnikate kito-mbe*0
Siwezi kuwa tahira wa kiwango hicho mimiHalafu itakuwaje kwa mke wako?!
Kwa watu ambao sio washabiki wa mpiraHivi hizi comments zinaandikwa na mashabiki wa timu gani?
Mm nikiacha kushabikia mpira baada ya kuona tunaenda kinyume na dunia. Yaani kitendo cha viongozi wa timu kuanzisha kampeni ya hamasa kuelekea mechi ni cha kipekee dunia nzima.Huu ni ujinga mtupu sijui ni kukosa kazi YANGA YANGA badala muweze mkate wa watoto wenu mnawaza litimu la kiswahili kama hili,kweli mashabiki mengi ya YANGA absolutely jobless.