Yanga yaweka Bango tena baada ya kuwafunga Simba 7-2 kwa msimu 2023/2024

Mbona hawaja zijumlisha zile Goli 5 walizochapwa kule Tanga FA ?
Kweli masikini akipata
 
Unapingana na ukweli?
 
Hiyo inadhihirisha yanga kuifunga simba Goli nyingi kwao ni ajabu na ndoto, mwaka 2012 simba ilipoifunga yanga 5-0 kwenye VPL, sidhani kama simba waliweka bango au mbwembwe zozote zile
Kuna vijana wa smart phone walikuwa hawajazaliwaπŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…