Yanga yaweka Bango tena baada ya kuwafunga Simba 7-2 kwa msimu 2023/2024

Yanga yaweka Bango tena baada ya kuwafunga Simba 7-2 kwa msimu 2023/2024

Duh,kweli timu za bongo akili hazina

Yaani unatumia gharama kubwa za kipumbavu kuandaa mabango ya kipuuzi wakati Mzize inamlipa laki6
 
My friend, umekuwa Mwananchi now days.
Nimekumbuka kipindi cha Fei toto.

Uliwakataa Wananchi
Kwa kukujuza tu, mimi sio Yanga wala sio Simba

Mimi team yangu inaitwa cosmopolitan. Ipo mtaa wa Sikukuu na Mkunguni, Kariakoo jijini Dar.

Sasa katafute maana ya "Cosmopolitan" utanielewa.
 
Hiyo inadhihirisha yanga kuifunga simba Goli nyingi kwao ni ajabu na ndoto, mwaka 2012 simba ilipoifunga yanga 5-0 kwenye VPL, sidhani kama simba waliweka bango au mbwembwe zozote zile
2012 ni zamani sana mambo yanabadirika. Ukipata nafasi ya kufurahi tumia nafasi hiyo to the fullest usijivunge kuonyesha furaha yako.
 
2012 ni zamani sana mambo yanabadirika. Ukipata nafasi ya kufurahi tumia nafasi hiyo to the fullest usijivunge kuonyesha furaha yako.
Nilikuwa naweka rekodi sawa tu mkuu by the way 2012 siyo zamani kihivyo ni muongo uliopita tu hapo, hata Tanzania ilikuwa ishatoka kwenye ulimwengu wa analogia kuja kwenye ulimwengu wa kidigitali, na social media zilikuwa zishaanza kuzaliwa
 
Hizi tambo zinakera ikiwa wewe ndiye unayekerwa. Kila jambo lipe muda lina mwisho wake.
 
Back
Top Bottom