Yanga yaweka Bango tena baada ya kuwafunga Simba 7-2 kwa msimu 2023/2024

Yanga yaweka Bango tena baada ya kuwafunga Simba 7-2 kwa msimu 2023/2024

Timu ya Yanga imeweka bango kubwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam linaloonesha matokeo ya jumla ya kipigo walichotoa kwa mnyama msimu huu.

Kwa mechi zote mbili za msimu huu klabu ya Yanga Afrika imeisulubu Simba jumla ya magoli 7-2 kama inavyoonekana kwenye bango hapo..

Vipi maoni yako? Je Yanga wako sahihi kuwafanyia Simba hivi? Au huu ni udhalilishaji?
View attachment 2971704
Home 5 + Away 2 = aggregate 7
 
Wacha wajifariji, vipigo walivyowahi kukutana navyo kutoka Simba bado vinawatesa.

Vv
 
Just imagine ile game ingeisha 5 : 0

Bango lingekuwa na 10 : 1
 
Timu ya Yanga imeweka bango kubwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam linaloonesha matokeo ya jumla ya kipigo walichotoa kwa mnyama msimu huu.

Kwa mechi zote mbili za msimu huu klabu ya Yanga Afrika imeisulubu Simba jumla ya magoli 7-2 kama inavyoonekana kwenye bango hapo..

Vipi maoni yako? Je Yanga wako sahihi kuwafanyia Simba hivi? Au huu ni udhalilishaji?
View attachment 2971704
Huu ukatili mkubwa sana.

Haiwezekani aisee[emoji36]

Hii nchi ina utawala bora kweli?

Nashauri makolo waende mahakamani.

Hii sasa zalau.
 
Mechi za ligi hazichezwi kwa mfumo wa mtoano yaani aggregate. Anayejidhalilisha ni yule aliyeweka hilo bango la upotoshaji. Wanakamatwa kina GB64 kwa tuhuma za uchochezi, ila huu upotoshaji wa wazi wazi tunachekeana. Na hapo viongozi wa Simba wako tayari kumchoma shabiki wa Simba anayelilia mafanikio ya timu yake ila wanaruhusu nembo ya klabu itumike kwa nia ya kupotosha kwa kisingizio cha utani wa jadi.
 
Mechi za ligi hazichezwi kwa mfumo wa mtoano yaani aggregate. Anayejidhalilisha ni yule aliyeweka hilo bango la upotoshaji. Wanakamatwa kina GB64 kwa tuhuma za uchochezi, ila huu upotoshaji wa wazi wazi tunachekeana. Na hapo viongozi wa Simba wanaruhusu nembo ya klabu itumike kwa nia ya kupotosha kwa kisingizio cha utani wa jadi.
Kama ligi haichezwi Kwa head to head kwann head to head ni kigezo kimoja wapo kumpata bingwa wa ligi ikiwa vigezo vingine vyote team zinazowania ubingwa zimelingana??
 
Kama ligi haichezwi Kwa head to head kwann head to head ni kigezo kimoja wapo kumpata bingwa wa ligi ikiwa vigezo vingine vyote team zinazowania ubingwa zimelingana??
keyword: ikiwa.

Tangu msimu huu umeanza nionyeshe ni lini mlirefer matokeo ya aggregate na timu nyingine?
 
Back
Top Bottom