Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Vunja BeiMechi za ligi hazichezwi kwa mfumo wa mtoano yaani aggregate. Anayejidhalilisha ni yule aliyeweka hilo bango la upotoshaji. Wanakamatwa kina GB64 kwa tuhuma za uchochezi, ila huu upotoshaji wa wazi wazi tunachekeana. Na hapo viongozi wa Simba wako tayari kumchoma shabiki wa Simba anayelilia mafanikio ya timu yake ila wanaruhusu nembo ya klabu itumike kwa nia ya kupotosha kwa kisingizio cha utani wa jadi.
NGURUWE FC