Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
[emoji599] KUMRADHI WADAU WA SOKA..!!
Picha zote uzionazo hapa ni mali ya Tanzania na si tukio lingine zaidi ya sikukuu moja kubwa ya kimichezo nchini,
'SIKU YA MWANANCHI' inaingia kwenye rekodi maalum kuwahi kutokea barani Afrika ambayo ni:
'TUKIO PEKEE LA KIMICHEZO KUJAZA UWANJA ZAIDI YA MMOJA'
Ndani hakuna pa kukanyaga,nje ndo hapapitiki kabisa.
UHURU stadium is also FULL HOUSED.
Unaambiwa Yanga imekuwa gumzo huko duniani Kwa hili la kujaza viwanja viwili [emoji32][emoji32]