Yanga yaweka record duniani kujaza viwanja viwili Kwa wakati mmoja

Uhuru tulikua watu 25 tulikamatwa tukiwa tunapita njia wakatuambia kiingilio ni bure
 
Uwanja wa uhuru ni Kwa wale walikosa ticket....but walikuwa na hamu ya kushiriki
Walikosa kwa muktadha upi? Na ili hali tiketi hazikuisha,?

Kama hawakuwa na fedha Sawa, hivyo wakaona wawape shinning lakini sio full house kwamba while ticket mifumo inaonesha hazijaisha, ni manipulation za hovyo
 
Yaani kweli Bure ni aghali. Watu watoke makwao ili waende kuangalia Mpira uwanja wa Uhuru?

Ina maana hata Hela ya kuingia mabanda umiza kuangalia Mpira walikuwa hawana hadi wafurahie dezo ya GSM?

Sasa kina ujugu wataishije mjini???
 
Kila team ilijaza uwanja
Simba na yanga watafute battle nyingine ya kuingiza maokoto hii ya kushindana kujaza uwanja wamefaulu wote....
 
Ticket za uwanja ziliisha ......then bado watu walikuwa wengi
 
Yaani kweli Bure ni aghali. Watu watoke makwao ili waende kuangalia Mpira uwanja wa Uhuru?

Ina maana hata Hela ya kuingia mabanda umiza kuangalia Mpira walikuwa hawana hadi wafurahie dezo ya GSM?

Sasa kina ujugu wataishije mjini???
That's y ni timu ya wananchi.......nyie makolo hamuwezi hizi biti [emoji23][emoji23]
 
Kila team ilijaza uwanja
Simba na yanga watafute battle nyingine ya kuingiza maokoto hii ya kushindana kujaza uwanja wamefaulu wote....
Ila Yanga ilikuwa baba laoooo
 
Back
Top Bottom