Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo Mnapenda vya bure sana yule hersi akisema wanaume wote wa utopolo awafanye mke mtakubali hamjitambuiYaaah mkuu..... wananchi ni hatari sana... viwanja viwili [emoji32]
Kuna watu wanatesekaa sanaa[emoji599] KUMRADHI WADAU WA SOKA..!!
Picha zote uzionazo hapa ni mali ya Tanzania na si tukio lingine zaidi ya sikukuu moja kubwa ya kimichezo nchini,
'SIKU YA MWANANCHI' inaingia kwenye rekodi maalum kuwahi kutokea barani Afrika ambayo ni:
'TUKIO PEKEE LA KIMICHEZO KUJAZA UWANJA ZAIDI YA MMOJA'
Ndani hakuna pa kukanyaga,nje ndo hapapitiki kabisa.
UHURU stadium is also FULL HOUSED.
Unaambiwa Yanga imekuwa gumzo huko duniani Kwa hili la kujaza viwanja viwili [emoji32][emoji32]View attachment 3061903
Acha uongo.Yaaah
Sikuangalia kabisaaaa...niwe mkweli..ila jmos sikubanduka kwakweli...hata jukwaani humu sikugusa..ile ilikua ni sherehe yenye hadhi 5 sio hilo lenu la disko vumbi....😀😀😀😀😀Naskia Jana hukubanduka kabsa kwenye tv....ukifuatilia wananch
Unajitahidi kuitetea timu lako lenye wasemaji ishirini...hahahahah
Mwijaku hana shobo na mboga mboga fcMwijaku huyo