Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa ni sabuni ya roho mundu ghwa kyala umenye fijo...Makolo wote mnapenda pesa
Kama hersi alivyowafanya nyie na mshenga wake manarahaaaaa Mwamedi ndo anataka kuwafanya Makolo muwe wake zake [emoji32][emoji32]
🤣🤣🤣🤣 Mwamba alitoa code kuwa anataka shemeji.💛💚
GSM "Yanga bingwa"
MO UBWELA "huyu ni dada yangu"
Wale walitoa kiingilio privateYani nyie huyo Haji Manyara amewashkia akili kias hicho [emoji28] tickets ziko elfu 60 tu ambazo ni uwanja wa Ben Mkapa, huko kwingne wameingia kwa tickets za nan !? Za wap !? Moreover hata huo uwanja wa Ben Mkapa hamuwezi kuujaza nyie kwa viingilio amini kwamba mnafungulia dog tu [emoji28]
Tickets elfu60 zinajaza viwanja viwili [emoji28][emoji28][emoji28][emoji119]
Kwa huu wivu ni lazima uugue magonjwa ya moyo, kwenye 'pitch' ipi kulikuwa na watu?Licha ya fungulia mbwa. Watu walikuwa kwenye pitch na sio majukwaa ndio mnasema mmejaza uwanja? Mnadhalilisha taifa acheni hizo.