Yanga yaweka record duniani kujaza viwanja viwili Kwa wakati mmoja

Yanga yaweka record duniani kujaza viwanja viwili Kwa wakati mmoja

Licha ya fungulia mbwa. Watu walikuwa kwenye pitch na sio majukwaa ndio mnasema mmejaza uwanja? Mnadhalilisha taifa acheni hizo.
 
Ticket hazikuisha, ila wanaimba tumejaza uwanja!! Napata shida sana kuwaelewa,uwanja wa uhuru watu waliingia bure, wenye ticket Ndio waliingia mkapa, na ticket zaidi ya 10k hazikuuzwa, mlijazat kiaje huo uwanja?
Utakua ni kipofu au ulipitia mgambo si kwa ubishi huu 😂
 
[emoji599] KUMRADHI WADAU WA SOKA..!!

Picha zote uzionazo hapa ni mali ya Tanzania na si tukio lingine zaidi ya sikukuu moja kubwa ya kimichezo nchini,

'SIKU YA MWANANCHI' inaingia kwenye rekodi maalum kuwahi kutokea barani Afrika ambayo ni:

'TUKIO PEKEE LA KIMICHEZO KUJAZA UWANJA ZAIDI YA MMOJA'

Ndani hakuna pa kukanyaga,nje ndo hapapitiki kabisa.

UHURU stadium is also FULL HOUSED.

Unaambiwa Yanga imekuwa gumzo huko duniani Kwa hili la kujaza viwanja viwili [emoji32][emoji32]View attachment 3061903
Kumbe uongo ni jadi yenu.
 
Ni bora ungenyamaza ww chura...yani jana ilikua ni bonanza la temeke..😃😃😃😃😃
 
Licha ya fungulia mbwa. Watu walikuwa kwenye pitch na sio majukwaa ndio mnasema mmejaza uwanja? Mnadhalilisha taifa acheni hizo.
Hii yanga itaweka record heavyweight sana
 
Back
Top Bottom