Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Ni wapuuzi wanaoishi uhalisia kwenye fake IDsAu kakuomba Hifadhi ya moyo wake umemtolea nje. Mana kuna watu tukizielezea hisia zetu usipojali tunaliamsha bifu. Muulize Ms R alivyonikataaa atakuambia
Mungu amrehemu, bahati yake ss hivi nimeacha ukorofi ningemfurahisha.!!