fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tumezindua ofisi yetu ya hadhi na yenye vifaa vyote vya kisasa,vya kufanyia kazi.hii ndio maana ya kauli ya tumewaacha mbali sana.hivi karibuni tunazindua ujenzi wa uwanja wa yanga
Na mwiko pale nyuma utolewe uoshweMimi kama Mwana Yanga nawapongeza kwa hatuiyo kubwa na Muhimu.
Kuna kitu ambacho uongozi uwe makini katika kukitolea taarifa hasa uwanja, Naomba wasemanj/ Viongozi wasifanye siasa katika hili.
Kuwaamimisha watu kama Kuna ujenzi wa uwanja alafu ikatokea jambo ilo halikufanyika itakua jambo la fedheha Sana kwa uongozi wa Hersi.
Kama ni mambo ya ku mchachafya mtani msi ingize ishu za uwanja, yapo mambo mengi ya ku mchachafya mtani uwanja ni serious case.
Mimi binafsi ntafarijika ata kuona hatua za awali tu zikifanyika Chini ya uongozi huu ata msipo kumaliza ku ujenga, Ipo Generation ita umalizia.
Hersi Kiongozi kijana amefanya makubwa mpaka Sasa tafadhali asichafuke kwa hili la uwanja.
Bila picha!?tumezindua ofisi yetu ya hadhi na yenye vifaa vyote vya kisasa,vya kufanyia kazi.hii ndio maana ya kauli ya tumewaacha mbali sana.hivi karibuni tunazindua ujenzi wa uwanja wa yanga
Upo nyuma ya muda broNa ule mwiko kule nyuma mtauchomoa lini.?
Unaongea huku simba ikiwa imekodisha ofisi acha majungu sio mtajiMiaka 89 mnazungumzia kuzindua ofisi aibu sana
Kwani mmenyimwa kuzindua uwanja mbona nongwa kwa mambo ya kawaidaSImba ina Uwanja Bunju haina gharama za Kukodi uwanja wako kimia hawajigambi. Wengine kuzindua tu ofisi ya viti vya Plastic imekuwa habari.
Kati ya Uwanja na Ofisi kipi timu inahitaji zaidi??
Mna uwanja au kakichaka kalichofyekwa...... Msingekua mnahangaika kutaka kucheza uwanja wa zenjSImba ina Uwanja Bunju haina gharama za Kukodi uwanja wako kimia hawajigambi. Wengine kuzindua tu ofisi ya viti vya Plastic imekuwa habari.
Kati ya Uwanja na Ofisi kipi timu inahitaji zaidi??
subiri kesho kuna kitu saa 4 asbMimi kama Mwana Yanga nawapongeza kwa hatuaiyo kubwa na Muhimu.
Kuna kitu ambacho uongozi uwe makini katika kukitolea taarifa hasa uwanja, Naomba wasemanj/ Viongozi wasifanye siasa katika hili.
Kuwaamimisha watu kama Kuna ujenzi wa uwanja alafu ikatokea jambo ilo halikufanyika itakua jambo la fedheha Sana kwa uongozi wa Hersi.
Kama ni mambo ya ku mchachafya mtani msi ingize ishu za uwanja, yapo mambo mengi ya ku mchachafya mtani uwanja ni serious case.
Mimi binafsi ntafarijika ata kuona hatua za awali tu zikifanyika Chini ya uongozi huu ata msipo umaliza ku ujenga, Ipo Generation ita umalizia.
Hersi Kiongozi kijana amefanya makubwa mpaka Sasa tafadhali asichafuke kwa hili la uwanja.
subiri kesho saa 4 asb nahisi utaliaSImba ina Uwanja Bunju haina gharama za Kukodi uwanja wako kimia hawajigambi. Wengine kuzindua tu ofisi ya viti vya Plastic imekuwa habari.
Kati ya Uwanja na Ofisi kipi timu inahitaji zaidi??