Yanga yazindua ofisi zake kwenye makao makuu ya klabu

Mimi kama Mwana Yanga nawapongeza kwa hatuaiyo kubwa na Muhimu.

Kuna kitu ambacho uongozi uwe makini katika kukitolea taarifa hasa uwanja, Naomba wasemanj/ Viongozi wasifanye siasa katika hili.
Kuwaamimisha watu kama Kuna ujenzi wa uwanja alafu ikatokea jambo ilo halikufanyika itakua jambo la fedheha Sana kwa uongozi wa Hersi.

Kama ni mambo ya ku mchachafya mtani msi ingize ishu za uwanja, yapo mambo mengi ya ku mchachafya mtani uwanja ni serious case.
Mimi binafsi ntafarijika ata kuona hatua za awali tu zikifanyika Chini ya uongozi huu ata msipo umaliza ku ujenga, Ipo Generation ita umalizia.
Hersi Kiongozi kijana amefanya makubwa mpaka Sasa tafadhali asichafuke kwa hili la uwanja.
 
tumezindua ofisi yetu ya hadhi na yenye vifaa vyote vya kisasa,vya kufanyia kazi.hii ndio maana ya kauli ya tumewaacha mbali sana.hivi karibuni tunazindua ujenzi wa uwanja wa yanga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
76809f00a37c2553ea1c073b97813da3.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kama Mwana Yanga nawapongeza kwa hatuiyo kubwa na Muhimu.

Kuna kitu ambacho uongozi uwe makini katika kukitolea taarifa hasa uwanja, Naomba wasemanj/ Viongozi wasifanye siasa katika hili.
Kuwaamimisha watu kama Kuna ujenzi wa uwanja alafu ikatokea jambo ilo halikufanyika itakua jambo la fedheha Sana kwa uongozi wa Hersi.

Kama ni mambo ya ku mchachafya mtani msi ingize ishu za uwanja, yapo mambo mengi ya ku mchachafya mtani uwanja ni serious case.
Mimi binafsi ntafarijika ata kuona hatua za awali tu zikifanyika Chini ya uongozi huu ata msipo kumaliza ku ujenga, Ipo Generation ita umalizia.
Hersi Kiongozi kijana amefanya makubwa mpaka Sasa tafadhali asichafuke kwa hili la uwanja.
Na mwiko pale nyuma utolewe uoshwe
 
SImba ina Uwanja Bunju haina gharama za Kukodi uwanja wako kimia hawajigambi. Wengine kuzindua tu ofisi ya viti vya Plastic imekuwa habari.
Kati ya Uwanja na Ofisi kipi timu inahitaji zaidi??
 
Kwani mmenyimwa kuzindua uwanja mbona nongwa kwa mambo ya kawaida
 
SImba ina Uwanja Bunju haina gharama za Kukodi uwanja wako kimia hawajigambi. Wengine kuzindua tu ofisi ya viti vya Plastic imekuwa habari.
Kati ya Uwanja na Ofisi kipi timu inahitaji zaidi??
Mna uwanja au kakichaka kalichofyekwa...... Msingekua mnahangaika kutaka kucheza uwanja wa zenj
 
Mimi kama Mwana Yanga nawapongeza kwa hatuaiyo kubwa na Muhimu.

Kuna kitu ambacho uongozi uwe makini katika kukitolea taarifa hasa uwanja, Naomba wasemanj/ Viongozi wasifanye siasa katika hili.
Kuwaamimisha watu kama Kuna ujenzi wa uwanja alafu ikatokea jambo ilo halikufanyika itakua jambo la fedheha Sana kwa uongozi wa Hersi.

Kama ni mambo ya ku mchachafya mtani msi ingize ishu za uwanja, yapo mambo mengi ya ku mchachafya mtani uwanja ni serious case.
Mimi binafsi ntafarijika ata kuona hatua za awali tu zikifanyika Chini ya uongozi huu ata msipo umaliza ku ujenga, Ipo Generation ita umalizia.
Hersi Kiongozi kijana amefanya makubwa mpaka Sasa tafadhali asichafuke kwa hili la uwanja.
subiri kesho kuna kitu saa 4 asb
 
SImba ina Uwanja Bunju haina gharama za Kukodi uwanja wako kimia hawajigambi. Wengine kuzindua tu ofisi ya viti vya Plastic imekuwa habari.
Kati ya Uwanja na Ofisi kipi timu inahitaji zaidi??
subiri kesho saa 4 asb nahisi utalia
 
Back
Top Bottom