Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiporo kijicho anachezea kwa Mtibwa Sugar.Sasa hvi hawachangii uzi wowote na Nkana akiwanyoosha ndo vile JMF hawataonekana hv kipolo kijacho anacheza na nani ili apakwatwe tena
Mle hamana mpira wa kikosi kipana.Hicho Kikosi kipana, nani kakipanua?
Story zao tu. Wasuburi Nkana ananyoshe.
hakuna namna mtibwa lazima ampakateKiporo kijicho anachezea kwa Mtibwa Sugar.
Michango yetu inabaraka sana,nguvu ya umma hiyo30 kwa 47 difference 17!! Simba Wakishinda tunashinda, Wakitoa sare Nasi tunatoa sare, Wakifungwa sisi tutaendelea tuuh....!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
.....
Yanga hii kama hawana njaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasoon tu mambo hayako mbali ngoja after Nkana waanze kutafuta mchawiMimi kuna kitu nasubiri pale mkia fc....watakapo anza kuchapana viboko na kutimuana ........ndo kawaida yao....nisawa na kua tajiri alaf ndani ya nyumba kuna mifarakano ya ndoa ...hahahaaaa
Ndio nilichokiona Mkuu. Ila nadhani alishaelewa baada ya kurudia ulichokiandika.Naona hakunipata vizuri