Yanga Yenye Njaa

Yanga Yenye Njaa

Yaani hii yanga inawaacha midomo wazi
 
30 kwa 47 difference 17!! Simba Wakishinda tunashinda, Wakitoa sare Nasi tunatoa sare, Wakifungwa sisi tutaendelea tuuh....!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
.....
Yanga hii kama hawana njaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Michango yetu inabaraka sana,nguvu ya umma hiyo
 
Back
Top Bottom