Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
lol wakitoka hapo wapigwe mabomu ya machozi kuwatawanya ππSisi tumezuia mikusanyiko yote halafu wakimaliza wanaanza kumshambulia JPM πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lol wakitoka hapo wapigwe mabomu ya machozi kuwatawanya ππSisi tumezuia mikusanyiko yote halafu wakimaliza wanaanza kumshambulia JPM πππ
Utawasikia wakisema Kenya ni Nairobi na Mombasa tuu.
Hapo ndio umeona utapotelea na vile ur cohorts ni wengi wameanzisha threads kuiponda kenya, wewe ndio naona unafaa upunguze shoboPunguzeni shobo mdundo kwetu,habari zenu hatuna zetu mnazo,inashangaza sana.
lol wakitoka hapo wapigwe mabomu ya machozi kuwatawanya ππ
Hehehehe!!!!!
Mkuu nashukuru kwa kunikumbusha mbwembwe zile za kuipandisha Dom kuwa jiji. Eti makusanyo ya mapato ya serikali yalipanda kuliko Dar. Sasa nafikiri hawa jamaa huwa hawana kumbukumbu.Kama Dar ni 80% ya nchi kwa nini tumekwenda fufua mfu Dodoma?! Marehemu alieparalyse pia.
Hapo ni kajiado je Huko Turkana hali itakuwaje?. Hatari sana MK254 pingli-nyweeLOL umasikini kuliko huu wa watu 150k kufa na njaa kwenye middle income? πππ
View attachment 1428641
Hii hii Dar yenye udogo kuliko Wilaya ya Namtumbo?Dar ndio Tanzania and Tanzania is Dar es Salaam.
Kwa set up ya Mamlaka ya Mapato Tanzania Dar es Salaam itaendelea kuonekana ndiyo inaongoza kwa mapato lakini kiuhalisia si kweli na nitatoa mifano michacheKuna uzi Watanzania kwa Watanzania wamebishana kuhusu hiki kitu, kunao wameeleza ilivyo hiyo 80% kwamba kumbe ni kweli, kapitie huu, naupitia pia nikijifunza kitu Revenue collection ya serikali 80% inatoka Dar? Nimechanganyikiwa kabisa na hili - JamiiForums
Chips shops, night clubs bars smokershata mimi nashangaa, kwanza rais mwenyewe akisema... nadhani Dar ndiyo tu sehemu kuna activity serious ya uchumi
Yalikua makusanyo ya halmashauri /councils kutoka local government, TRA inakusanya mapato ya central government ambayo ndio JPM anayaongeleaMkuu nashukuru kwa kunikumbusha mbwembwe zile za kuipandisha Dom kuwa jiji. Eti makusanyo ya mapato ya serikali yalipanda kuliko Dar. Sasa nafikiri hawa jamaa huwa hawana kumbukumbu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jirani usitucheke bana. Maana ata sisi wenyewe bado tunatafakari hiyo kauri ina ukweli kiasi gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni kajiado je Huko Turkana hali itakuwaje?. Hatari sana MK254 pingli-nywee
Mkuu nashukuru kwa kunikumbusha mbwembwe zile za kuipandisha Dom kuwa jiji. Eti makusanyo ya mapato ya serikali yalipanda kuliko Dar. Sasa nafikiri hawa jamaa huwa hawana kumbukumbu.
Sent using Jamii Forums mobile app
lol mafukara wa kutupwa wanakufa na njaa na hawapo kwenye ramani hata nusu ya dollars millionaires yetu hamfikiLakini hivi hamuoni aibu ya mikoa yote kuwa mzigo kwa Dar....halafu mna kila kitu ila umaskini wa kutupwa, tatizo uzembe wenu.
Actually more than 70% ya kenya annual GDP inatoka Nairobi wako sawaUtawasikia wakisema Kenya ni Nairobi na Mombasa tuu.