Yani Dar ndiyo imeshikilia uchumi wa Tanzania!

Yani Dar ndiyo imeshikilia uchumi wa Tanzania!

Kitu ninachojivunia utaifa wangu ni kwamba kiongozi wetu alifungua kinywa basi ukanda mzima unakaa kitako kumsikiliza πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

The whole Kenya was silent yesterday beholding their great majesty πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

View attachment 1428672
Magufuli the president of east africa,akiunguruma tu,vyombo vya habari,mitandao ya kijamii,maraisi wa east africa wanaitika...hotuba ile ya kwanza kuongea kuhusu janga la corona citizen tv ikaitika,hatujakaa sawa,miguna miguna nae,dw hao nao hawakubaki nyuma,raisi Museveni nae akaitika...juzi napo hivyohivyo vyombo vya habari nchini uganda ni Magufuli tu

This man is very unique,everybody dances to his flow
 
Hata idadi ya mamilionea mlisema hivi hivi, ikatoka report mkaishia kuumbuka.
Lakini inawezekana kuwa kweli maana unajua Tanzania yote, yaani bara na visiwani ukiunganisha uchumi wao wote ndio huwa unatoshana na Nairobi pekee yake, sasa ukifunga hiyo Dar yaani wanakua wameisha. Nafikiri ndio mojawapo wa sababu za wao kujaribu kuamsha Dodoma iweze kupumua yenyewe bila kutegemea Dar, ukizingatia ndio mji mkuu.

Kuna daraja la kuingia Dar huwa linasombwa na mafuriko yaani nchi yote inaganda mpaka inabidi rais na waziri mkuu wote waende kupambana lirejeshwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli the president of east africa,akiunguruma tu,vyombo vya habari,mitandao ya kijamii,maraisi wa east africa wanaitika...hotuba ile ya kwanza kuongea kuhusu janga la corona citizen tv ikaitika,hatujakaa sawa,miguna miguna nae,dw hao nao hawakubaki nyuma,raisi Museveni nae akaitika...juzi napo hivyohivyo vyombo vya habari nchini uganda ni Magufuli tu

This man is very unique,everybody dances to his flow
Magufuli is treated with the same excitment in Kenya like Kim Jong Un is viewed in the west...
 
Back
Top Bottom