Yani Dar ndiyo imeshikilia uchumi wa Tanzania!

Utawasikia wakisema Kenya ni Nairobi na Mombasa tuu.

Lakini inawezekana kuwa kweli maana unajua Tanzania yote, yaani bara na visiwani ukiunganisha uchumi wao wote ndio huwa unatoshana na Nairobi pekee yake, sasa ukifunga hiyo Dar yaani wanakua wameisha. Nafikiri ndio mojawapo wa sababu za wao kujaribu kuamsha Dodoma iweze kupumua yenyewe bila kutegemea Dar, ukizingatia ndio mji mkuu.

Kuna daraja la kuingia Dar huwa linasombwa na mafuriko yaani nchi yote inaganda mpaka inabidi rais na waziri mkuu wote waende kupambana lirejeshwe.
 
Kama Dar ni 80% ya nchi kwa nini tumekwenda fufua mfu Dodoma?! Marehemu alieparalyse pia.
Mkuu nashukuru kwa kunikumbusha mbwembwe zile za kuipandisha Dom kuwa jiji. Eti makusanyo ya mapato ya serikali yalipanda kuliko Dar. Sasa nafikiri hawa jamaa huwa hawana kumbukumbu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili za hovyo kabisa za huyu jamaa muoga
 
Kwa set up ya Mamlaka ya Mapato Tanzania Dar es Salaam itaendelea kuonekana ndiyo inaongoza kwa mapato lakini kiuhalisia si kweli na nitatoa mifano michache
(i) Kampuni zote za madini head office ziko Dar ingawaje shughuli ziko mikoani. Kodi zao zitahesabika kulipiwa Dar es Salaam
(ii) Kampuni nyingi zinazokusanya mazao makao makuu yako Dar es Salaam lakini mazao yananunuliwa mikoani; kodi ya hizi kampuni itahesabika zimelipiwa Dar.
(iii) Makampuni makubwa mafaili yake ya kodi yako kitengo cha walipa kodi wakubwa; hivyo kodi za haya makampuni haziingie kwenye mikoa makao yao makuu yalipo; haya ni kama makampuni makubwa ya kitalii, Mbuga za Wanyama, Viwanda vya Cement nk.
 
Mkuu nashukuru kwa kunikumbusha mbwembwe zile za kuipandisha Dom kuwa jiji. Eti makusanyo ya mapato ya serikali yalipanda kuliko Dar. Sasa nafikiri hawa jamaa huwa hawana kumbukumbu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yalikua makusanyo ya halmashauri /councils kutoka local government, TRA inakusanya mapato ya central government ambayo ndio JPM anayaongelea

akili yako yenyewe kisoda unahangaika kupangua equations za Einstein, maajabu 😁😁😁
 
Mkuu nashukuru kwa kunikumbusha mbwembwe zile za kuipandisha Dom kuwa jiji. Eti makusanyo ya mapato ya serikali yalipanda kuliko Dar. Sasa nafikiri hawa jamaa huwa hawana kumbukumbu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio kama hivyo, ulishaona mapato ya TRA yakitangazwa na waziri wa local government affiliates? Au TRA commissioner?
 
Chips shops, night clubs bars smokers

Sent using Jamii Forums mobile app

Hehehe!! ila hayo machips usiyadharau maana yana control uchumi wenu kwa 80%
Hivi mbona mnambishia rais wenu??? Mnafahamu urais ni taasisi, huwa anapewa data za nchi yote ambazo huwa zinapitiwa na kukaguliwa kwa umakini mkubwa maana kila anachokisema kinaweza kuleta aibu kwa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…