Yani hadi hit ya michael jackson inazidiwa views na hits kama wakina chino

Dunia ina watu 8 billion
Inakuwaje watu 7 billion wameview hapo hujatoa watoto,wazee,wahazabe n.k

Na je dunia yote wameiona io nyimbo kila mtu? Au wote wana simujanja?
In 15 years time kuna waliokuwa washakufa, kuna waliokuwa washazeeka na wengine wanaendelea kuangalia
 
Dunia ina watu 8 billion
Inakuwaje watu 7 billion wameview hapo hujatoa watoto,wazee,wahazabe n.k

Na je dunia yote wameiona io nyimbo kila mtu? Au wote wana simujanja?
Kuna watu wana account Zaid ya moja na pia kuna waliotazama mara kadhaa. Ina count per view not per account.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…