Yani hadi hit ya michael jackson inazidiwa views na hits kama wakina chino

Dunia ina watu 8 billion
Inakuwaje watu 7 billion wameview hapo hujatoa watoto,wazee,wahazabe n.k

Na je dunia yote wameiona io nyimbo kila mtu? Au wote wana simujanja?
Repeat view
 
Tujikumbushe vipaumbele vya Lowasa.
 
Back
Top Bottom