Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama pesa ipo kwanini asitumie yake mwenye anajua vp kaipata kama kwa raha au kwashida...
kumbe hadi wanaume mnakuaga na haka katabia ka wivu!!
Uliyesema ni vilaza una wivu wa kike,, Mi binafsi sio mpenzi kabisa wa movie zao lakini nawakubali hawa vijana kwa ubunifu wao wa kutafuta maisha kwa kazi za mikono yao na mungu awazidishie maana wengi wetu tumekalia kuilaumu serikali haitoi ajira na kushindwa kubuni chochote cha kujiajiri na hata tulioajiriwa kazi ni kuwaza kutajirika kwa wizi na rushwa tu wakati wapiganaji wa kweli wanatafuta riziki bila kusubiri kubebwa na Jk wala Dr slaa,, Wanapigana wenywe kutafuta riziki hata kwa movie za camera moja mkono uende kinywani,, Kwa maisha ya kuajiriwa ni ngumu sana kuwa na kipato cha hawa jamaa bila ya wizi,,
Matumizi ni maamuzi ya mtu kama anajua kutafuta pesa na kujiajiri ndo silaha kuu kupambana na hali mbaya ya uchumi iliyopo sasa duniani kote,
Nilioneshwa nyumba moja Tabata bado inajengwa na Ray sikuamini kama Bongo movies inaweza kuwafikisha hapa ilipo na hii kutokana na kujituma na kutosikiliza wakatishaji tamaa kama wewe muanzisha maada kwa kumuita mtu ALIYEJIAJIRI KILAZA WAKATI WEWE UMEAJIRIWA UNAISHI KWA KUTUMWA NA MABOSI WAKO OFISINI,, SHAME ON YOU,,
huko Nigeria waigizaji kina genevive nnaji na wengineo ni graduates lakini wameamua kuingia kwenye sanaa kwa sababu ya kipato kidogo kazini na shida za kuajiriwa,, hopin unaona they are lifestyle on dstv if you have it at home
kwa kumalizia kwa mshahara wa ofisini bila wizi ni ndoto kwako kuja kumiliki hayo magari na hizo nyumba wanazojenga hawa jamaa tena bila kujibana (sababu wanakula bata daily, wanaendesha magari wanayopenda na kudate na galz they wish)
ni kweli bt kaka ndo wachukue ya mil20
kweli? Hivyo vifaa bado wanatumia bado ni vya third party....kwa hamna magari mazuri tu comfortable japo ya mil50?
Maisha yao wewe yanakuhusu nini deal with your own life and stop being a hater hata wakitumia milioni 100 inaongeza au inapunguza nini kwako?hahaha mkuu eti wamechukua lexus v8
Umeona ehee!!Hongera zao na mungu awazidishie,walipokuwa wanaanza tuliwacheka sana wamefanikiwa badala tuwapongeze tunawaponda hakika hasidi hana sababu lol!
Kununua gari la gharama kupita maelezo ni tabia ya most of sisi Tanzanians.... Yaani sie ni watumiaji kuliko kutunza pesa... Ni sawa tu na simu, mtu unamshahara wa laki nane (Tsh. 800,000/=) na wala huna shughuli nyingine but simu ulonayo ni 1.2 M....