Yani hawa Ray na Kanumba ni vilaza kweli

eh! hela wametafuta wenyewe!! wala hukuwapa ramani ya kuzipata........
Sasa wamejinunulia wanachokipenda unaumia nini?????
Acha wivu wewe...............
Mimi nawapa Big up
 



mtu afanye kinachompendeza na nafsi yake......

Kama wewe unataka kusomea sanaa si uende wewe!!!!! Kulikoni kuwapangia wenzio maisha unayotaka wewe??
 
ni kweli bt kaka ndo wachukue ya mil20
kweli? Hivyo vifaa bado wanatumia bado ni vya third party....kwa hamna magari mazuri tu comfortable japo ya mil50?
Nimesoma kuwa magari waliyonunua si ya mamilioni kama tunavyodhani bali la Kanumba ni m78 kama sikosei,na kwa kuwa mfuko wao unawaruhusu kufanya hivyo mimi sioni tatizo ni maisha yao na maamuzi yao,hata leo wakiamua kutembelea Bajaji ni nani atawazuia?
 
Tukijadili mambo ya kitaifa itakuwa bora zaidi, suala la kununua gari la bei kubwa siyo issue, think critically!
 
 
Wakipanda Daladala, Bajaj wbongo mtachonga tuu...jalini maisha yenu binafsi ya mwengine yanawahusu nini? ata ndege wakinunua kesho poa tuu. tutapishana huko huko angani!
 

Yani hii post imeifanya asubuhi asubuhi,,,inamaana hulali wewe unafikiria maisha ya wenzako. Utaolewa kaka!
 

Wangechukua TOYO naamini pia ungeandika... wangetembea kwa miguu pia ungeandika... wameamua kuridhisha nafsi zao/kukamilisha ndoto zao ndoto yako haiwezi kufanana na ya kwao so live your life and you will be happy...
 

Ulitaka wakufuate uwa pangia matumizi kwa jasho lao?
Mwanaume mzima kama binti
 
na Wewe si ununue lakwako.

ha ha haaaa...safi sana, yaani mtu ahangaikie pesa yako we uanze kumpangia masharti ni kitu gani cha kununua!!?? ili akuridhishe nafsi yako kwamba anaendesha gari ya kawaida au!!! hizo zinaitwa TUHESHIMIANEEE!!!!!!
 
Sio wivu huo ndio ukweli jamaa ni watoto katika movie industry ya duniani lakini kama hapo walipo fikia ndio malengo yao basi ni sawa na wacheza soka wa kibongo ukichezea yanga au simba basi ushafikia kilele hao jamaa ni walewale wabongo hawana jipya.

acha wivu....
 
Jamani hao watu wana production companys,wanapata pesa za kibongo bongo ambazo zinawatosha,wanataka kujenga status zao zizidi kukuwa,wanafanya movie na ma star wa kinaigeria kama Ramsey noah,they are in their way up na sio down,achani wivu wa kijinga
Kwanza msiseme sijui wivu wa kike,semeni wivu wa kiume looo
Sijaangakia movie za kibongo for almost 3 years lakini i guess zinatakuwa na mvuto kwa sasa hadi kuwafanya wa make money
 

umemaliza??
 

umemaliza??
 
ha ha haaaa...safi sana, yaani mtu ahangaikie pesa yako we uanze kumpangia masharti ni kitu gani cha kununua!!?? ili akuridhishe nafsi yako kwamba anaendesha gari ya kawaida au!!! hizo zinaitwa TUHESHIMIANEEE!!!!!!

umemaliza??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…