Yani haya mambo ya ngono kuleta mikosi utayasikia tu kwa sisi mafukara

Yani haya mambo ya ngono kuleta mikosi utayasikia tu kwa sisi mafukara

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Tabu inapokuwa kali katika jamii , watu huwa huwaza mambo ya kufikirika kuwa ndio sababu ya wao kupitia ukata na mateso.

Zamani mvua zisiponyesha walijua wameudhi miungu au mababu sasa leo ambapo wamegundua kuwa mvua ni geographical issue sasa wataleta stori za ngono ndio sababu ya vijana kuwa na gundu katika maisha

The only way ngono inaweza kukuathiri ni kukuletea magonjwa, kuharibu mahusiano yako au kukufirisi ila haya ya kuwa kuna mikosi na laana ukifanya ngono na malaya au kiholela ni stori za masikini maana sisi waafrika ni watunzi wa mambo ya kufikirika

Ukitoka hapo utatunga uzi wa kusifia tajiri flani, ila unakuta huyo mwamba kila mtaa amepangishia michepuko yake ila wewe Chaputa una tabu ana meno yanawasha.
 
Kuna mbibi flan nilikuwa nampiga miti kwenye apartment yake yani nampelekea moto balaa jirani mlango unafuata alikuwa mzungu wa makamu alikuwa anamaindi hizo kelele za huyu mbibi. Siku moja hakuvumilia wakati na mpelekea huyu mbibi moto akatoka kwake na kubamiza mlango na kuporomosha matusi ya hatarii fakyu Black man fakyu nigger. Nikabaki tu mshangao wtf kwasababu sina makosa anayepiga kelele no huyu mbibi halalafu mimi no natukanwa.

Nyau de adriz
Jamaa ni mwehu si bure , ila na bange inachangia ..

Zee zima hauna hata familia kazi uzinzi tu ... Marrassmita
 
Jamaa ni mwehu si bure , ila na bange inachangia ..

Zee zima hauna hata familia kazi uzinzi tu ... Marrassmita
Hahaha hahaha ila adriz sometimes inabidi nichekage tu badala ya kuksirika. Dogo unavituko Sana. Nakumbuka ile comment yako eti wanakijiji meru walinichoka wakaamua kujichanga kunipeleka ulaya ili nisizidi kuwasumbua😆😆😆😆.

Kwa taairifa yako bange siachi. Kuna video ntakutumia tunapiga msuba na masela.
 
Una bahati Jf imefungiwa nilianda makombora ya maana kama ballistic missile za Iran nilitaka nishushe nyuzi kama 5 tofauti za kukunyima usingizi Maarass...

Nazihifadhi mpaka Jf ifunguliwr na pachangamke ili nikudhalilishe wakati watu wanaona . Kuna nyuzi zipo kabatini.

1. Your educational background
2. The truth about Ghayos Gang
3. How weeds made you a Barbaric Scumbabag
4. The story of your Journey to Europe
5. Your criminal activities in Europe
6. .........
7.............. Etc
 
Hahaha 😆😆
 
Wabongo wanakuambia ukilombana na Malaya watakusababishia mikosi, najiuliza Kwahy mm siwezi kumsababishia mikosi huyo Malaya? 😂

N aina gani hy ya mikosi, mbona mm maisha yangu hayaeleweki tangu kabla sijaanza kuwala hao Malaya? 😂
 
Umaskini na Ujinga:

Screenshot 2025-08-04 122645.png
 
Wabongo wanakuambia ukilombana na Malaya watakusababishia mikosi, najiuliza Kwahy mm siwezi kumsababishia mikosi huyo Malaya? 😂

N aina gani hy ya mikosi, mbona mm maisha yangu hayaeleweki tangu kabla sijaanza kuwala hao Malaya? 😂

Waulize ukilala na tajiri na wewe milango ya utajiri inafunguka upigwe chenga zaidi ya Messi.
 
Mikosi na laana unaitafsiri vipi?

Mfano una milioni 1 kama gawio lako la urithi. Badala ya kwenda kuwekeza izalishe, unaenda kuoa. Mwanamke umuoaye ana madeni ya vikoba. Kama mume mwenye mapenzi mema unaamua kumlipia vicoba. Tuseme umelipia laki 7..

Zinaa ni tendo la kiroho na kinishati.
Watu wanachangamoto nyingi sana zinazopelekea kubadili mfumo wa maisha.
Unapozini mnabadilishana nishati zenu. Yaani mnazichanganya zinakuwa kitu kimoja. Mfano hapo juu ulikuwa na 1M+(-7k)=3k

Zamani kabla mtu hajaozeshwa walikuwa wanaangalia historia ya familia.
 
Wadogo zangu achaneni na hizo akili waogopeni Malaya heri upige mastar sio hayo mambo, Kuna kigogo wa DHAHABU namjua KILICHO mkomba ni mbunye ukimuona huamin

Fullstop kwishaaaa
 
Wabongo wanakuambia ukilombana na Malaya watakusababishia mikosi, najiuliza Kwahy mm siwezi kumsababishia mikosi huyo Malaya? 😂

N aina gani hy ya mikosi, mbona mm maisha yangu hayaeleweki tangu kabla sijaanza kuwala hao Malaya? 😂
Kwani wewe unalomba au unalobwa? 👌
 
Wabongo wanakuambia ukilombana na Malaya watakusababishia mikosi, najiuliza Kwahy mm siwezi kumsababishia mikosi huyo Malaya? 😂

N aina gani hy ya mikosi, mbona mm maisha yangu hayaeleweki tangu kabla sijaanza kuwala hao Malaya? 😂
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom