Yani haya mambo ya ngono kuleta mikosi utayasikia tu kwa sisi mafukara

Yani haya mambo ya ngono kuleta mikosi utayasikia tu kwa sisi mafukara

Masikini sometimes huwa na mawazo ya ajabu ajabu sana.
 
Ndiyo na ni kweli NGONO inaleta MIKOSI, ilitakiwa ujue maana ya mkosi kwanza
 
Masikini sometimes huwa na mawazo ya ajabu ajabu sana.
Masikini hawezi kuwa na mawazo ya tajiri lazima awaze ndani ya uwezo wake, hivi mimi ninaishi nyumba ya kupanga hayo mawazo ya kumiliki helicopter ya nini mimi? Ninachowaza ni kumiliki kiwanja Kisemvule na siyo Mbweni
 
Ukitoka hapo utatunga uzi wa kusifia tajiri flani, ila unakuta huyo mwamba kila mtaa amepangishia michepuko yake ila wewe Chaputa una tabu ana meno yanawasha
Tajiri haokoti wanawake hovyo kama nyinyi, hao unaosema kawapangishia ni ndoa zisizo rasmi
Tajiri halali na mabaamedi, halali na machangudoa, tajiri halali na Mwajuma Ndala Ndefu ambaye Mama yake ni muuza gongo na baba yake alikua anambaka utotoni
Wanawake unaolala nao wewe kapuku ni Wenye matatizo chungu mzima na ndio maana yanakuja masuala ya Mikosi ; unajisifia kulala na mwanamke Fulani kumbe kichwani ana trauma za kubakwa au kupigwa na kajaa madonda rohoni
 
Back
Top Bottom