Yani KIA sorrento ex haijazungumziwa kabisa hapa JF!!!!?

Yani KIA sorrento ex haijazungumziwa kabisa hapa JF!!!!?

goodfool

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
1,668
Reaction score
994
Wakui habari,

Hakuna chanzo kizuri cha habari, taarifa na maarifa utaorodhesha hapa Tz bila ukaicha, JF,

Miaka kadhaa ninakwama kununua gari kutokana na sababu binafsi, nakua na subra,

Mwezi wa tatu huu, nimetuliza akili napita huko be4ward, kupatana, olx, jiji, zoom hapa jf kujifunza magari.

Mwaka 2017 nilitaka nivute passo nikaona apana, nkafikiria rav4 5 doors, nikaangukia Altteza sasa Mawazo yapo mwenye Subaru has a Forester (subru) kama hii apa chini,


Hapo ndipo akili imegomea ase, huntoi apo ase,,,

Sasa Leo nimeona gari flan hivi niliyoitaja, KIA SORRENTO, hamjaizungumzia kabisa wakuu.

NOTE: NATAKA USED, sina uwezo na gari mpya au imported from Japan, nataka zile mtu anaisogeza ametumia,

Baada ya kuona Subaru na hiyo KIA mimeona niongeze hela, nimejenga haraka haraka kwa kanyumba simpo ka milioni 2 (2,000,000) with basic needs inside ili ninunue gari ase, CAR IS EVERYBODY DREAM!!!

Nawasilisha. Asanteni.
BG182255_728ae2.jpeg
tapatalk_1563321191251.jpeg
 
Uwezo wako mdogo halafu unataka Subaru? Tena used? Halafu unataka KIA gari ya KOREA? . kama wewe ni mganga sawa nunua tu hayo majini tuacheni sisi na vi TOYOTA IST vyetu ikiharibika spea buku 7 tu fundi Kingo anairudisha barabarani
 
Mim c mtu wa ruti nyingi kwa gari, itanifaa tu.
Uwezo wako mdogo halafu unataka Subaru? Tena used? Halafu unataka KIA gari ya KOREA? . kama wewe ni mganga sawa nunua tu hayo majini tuacheni sisi na vi TOYOTA IST vyetu ikiharibika spea buku 7 tu fundi Kingo anairudisha barabarani
 
Mwaka wa 3 huu nimetuliza mzuka, nkajenga kijumba man, maisha ndo haya ase
Unaonekana una wenge sana na ndinga, tuliza mzuka utaelewa ni aina gani ya gari unayohitaji. kumbuka ukiiga kunya kwa tembo utapasuka msamba
 
Unajua nakaa wapi?/mbona zipo nyumba mpaka za laki moja? Au nyumba iweje? Lazma I cost hela kubwa? Mzee baba think beyond...
Kitendo cha kuandika una nyumba ya 2mil, uzi tayari unatia mashaka kama una muandishi serious
 
Mkuu umejenga kwa milion 2....hii inastahili uzi wake kwa kweli!
 
Back
Top Bottom