Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
2M hujajenga sema umeokota NYUMBA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na anataka awe analaza gari hapo inje kwake!!!!Nyumba ya 2m Tshs hiyo nimeipenda,sijui itakuwa inafanana vipi,bado ninatafakari...
Achana na yote hayo Kwa level yako chukua terrios kid hutajutaWakui habari,
Hakuna chanzo kizuri cha habari, taarifa na maarifa utaorodhesha hapa Tz bila ukaicha, JF,
Miaka kadhaa ninakwama kununua gari kutokana na sababu binafsi, nakua na subra,
Mwezi wa tatu huu, nimetuliza akili napita huko be4ward, kupatana, olx, jiji, zoom hapa jf kujifunza magari.
Mwaka 2017 nilitaka nivute passo nikaona apana, nkafikiria rav4 5 doors, nikaangukia Altteza sasa Mawazo yapo mwenye Subaru has a Forester (subru) kama hii apa chini,
Hapo ndipo akili imegomea ase, huntoi apo ase,,,
Sasa Leo nimeona gari flan hivi niliyoitaja, KIA SORRENTO, hamjaizungumzia kabisa wakuu.
NOTE: NATAKA USED, sina uwezo na gari mpya au imported from Japan, nataka zile mtu anaisogeza ametumia,
Baada ya kuona Subaru na hiyo KIA mimeona niongeze hela, nimejenga haraka haraka kwa kanyumba simpo ka milioni 2 (2,000,000) with basic needs inside ili ninunue gari ase, CAR IS EVERYBODY DREAM!!!
Nawasilisha. Asanteni.View attachment 1157225View attachment 1157226
Kudadeki, terios kid yenye cc. 600 ambayo kuna jamaa alidai hadi guta linaweza ku overtake. majanga haya..Achana na yote hayo Kwa level yako chukua terrios kid hutajuta
Haina wenge, ila kama ni subaru zipo new model zina shape amazing hivi. kwa bongo nafikiri bado ni chache, jaribu kucheki online..Mwaka wa 3 huu nimetuliza mzuka, nkajenga kijumba man, maisha ndo haya ase
Anazingua,kavuta bangi tu huyuNyumba 2m....gari unataka ya 12-20m...kweli kupanga ni kuchagua
Picha mkuu
achana na habari za jamaa usiwe cheap kiasi hicho. ongea na wanazozitumia.... akili ya kuambiwa changanya na zako dada... Kila mtu humu mjuaji dada. Fuatilia usibebelee kila comment.Kudadeki, terios kid yenye cc. 600 ambayo kuna jamaa alidai hadi guta linaweza ku overtake. majanga haya..
Sawa sawa mamdogo naona unatumia gari ya kuendea gengeniachana na habari za jamaa usiwe cheap kiasi hicho. ongea na wanazozitumia.... akili ya kuambiwa changanya na zako dada... Kila mtu humu mjuaji dada. Fuatilia usibebelee kila comment.
Tehehehehehe...na mimi nimejiuliza sana mil 2 ni nyumba gani hiyo?Nyumba ya 2m Tshs hiyo nimeipenda,sijui itakuwa inafanana vipi,bado ninatafakari...
Dada we unayo? Mtoto wa kike Acha kubishana na wanaume nyumisi. Hutaolewa. Wanaume hatupendi madem wenye dharau Kama nyie. Hakika anaekut.... ba anapata taabu sana. Nyie ndio Malaya mnaoagiza Bavaria Kama fashion mkidhani mnakomoa. ShubamitSawa sawa mamdogo naona unatumia gari ya kuendea gengeni
Nashukuru kwa matusi mama, njoo wanaume tukununulie gari zinazoeleweka kuliko hizo toy za mahousegeliDada we unayo? Mtoto wa kike Acha kubishana na wanaume nyumisi. Hutaolewa. Wanaume hatupendi madem wenye dharau Kama nyie. Hakika anaekut.... ba anapata taabu sana. Nyie ndio Malaya mnaoagiza Bavaria Kama fashion mkidhani mnakomoa. Shubamit
Nyumba ya 2m Tshs hiyo nimeipenda,sijui itakuwa inafanana vipi,bado ninatafakari...
Nashukuru kwa matusi mama, njoo wanaume tukununulie gari zinazoeleweka kuliko hizo toy za mahousegeli
[/QUOT
Kumbe ni mwanaume? Basi utakuwa na shida mahali. Maandishi na comments zako ziko kike sana . Sorry Kwa huu mtazamo wangu ila ukiona poa rekebisha Kama unadhani Uko sahihi endelea. Ok poa check time yako bro
Huyo basha ako angekununulia angalau ka ist ningemwelewa, siyo hicho kidude aiseeKumbe