KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
Wakui habari,
Hakuna chanzo kizuri cha habari, taarifa na maarifa utaorodhesha hapa Tz bila ukaicha, JF,
Miaka kadhaa ninakwama kununua gari kutokana na sababu binafsi, nakua na subra,
Mwezi wa tatu huu, nimetuliza akili napita huko be4ward, kupatana, olx, jiji, zoom hapa jf kujifunza magari.
Mwaka 2017 nilitaka nivute passo nikaona apana, nkafikiria rav4 5 doors, nikaangukia Altteza sasa Mawazo yapo mwenye Subaru has a Forester (subru) kama hii apa chini,
Hapo ndipo akili imegomea ase, huntoi apo ase,,,
Sasa Leo nimeona gari flan hivi niliyoitaja, KIA SORRENTO, hamjaizungumzia kabisa wakuu.
NOTE: NATAKA USED, sina uwezo na gari mpya au imported from Japan, nataka zile mtu anaisogeza ametumia,
Baada ya kuona Subaru na hiyo KIA mimeona niongeze hela, nimejenga haraka haraka kwa kanyumba simpo ka milioni 2 (2,000,000) with basic needs inside ili ninunue gari ase, CAR IS EVERYBODY DREAM!!!
Nawasilisha. Asanteni.View attachment 1157225View attachment 1157226
Nunua subaru ya st 2008 ni nzr sana bro