Yani KIA sorrento ex haijazungumziwa kabisa hapa JF!!!!?

Hahahahah angalia nyuzi zangu za nyuma, mim nimtu wa kuamini jambo langu na kuliweka kwenye vitendo.

Copy
Mkuu umejenga kwa milion 2....hii inastahili uzi wake kwa kweli!
 
Achana na yote hayo Kwa level yako chukua terrios kid hutajuta
 
Mwaka wa 3 huu nimetuliza mzuka, nkajenga kijumba man, maisha ndo haya ase
Haina wenge, ila kama ni subaru zipo new model zina shape amazing hivi. kwa bongo nafikiri bado ni chache, jaribu kucheki online..
 
Picha mkuu
Kudadeki, terios kid yenye cc. 600 ambayo kuna jamaa alidai hadi guta linaweza ku overtake. majanga haya..
achana na habari za jamaa usiwe cheap kiasi hicho. ongea na wanazozitumia.... akili ya kuambiwa changanya na zako dada... Kila mtu humu mjuaji dada. Fuatilia usibebelee kila comment.
 
Lengo kwanza yao baadae,
Pambania unachohitaj, kama uko arusha kupata used kwa bei poa ni rahis sana
Kuna gar kama runx,alex na forester za bei poa pia unaeza pata
 
achana na habari za jamaa usiwe cheap kiasi hicho. ongea na wanazozitumia.... akili ya kuambiwa changanya na zako dada... Kila mtu humu mjuaji dada. Fuatilia usibebelee kila comment.
Sawa sawa mamdogo naona unatumia gari ya kuendea gengeni
 
Sawa sawa mamdogo naona unatumia gari ya kuendea gengeni
Dada we unayo? Mtoto wa kike Acha kubishana na wanaume nyumisi. Hutaolewa. Wanaume hatupendi madem wenye dharau Kama nyie. Hakika anaekut.... ba anapata taabu sana. Nyie ndio Malaya mnaoagiza Bavaria Kama fashion mkidhani mnakomoa. Shubamit
 
Nashukuru kwa matusi mama, njoo wanaume tukununulie gari zinazoeleweka kuliko hizo toy za mahousegeli
 
Hilo picha ya Subaru hapo juu ni maarufu kweli.... Kila mahali naiona
 
Kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…