Yani kwa kifupi Kama una namba ya NIDA oktoba UTATIKI upende Usipende

Yani kwa kifupi Kama una namba ya NIDA oktoba UTATIKI upende Usipende

FB_IMG_1756033214373.jpg
 
CCM inapata ushindi wa kishindo,
ccm inakuwa ni chagua la Mungu.

Awamu ya 2025 2030, ni ya matajiri, maskini Poleni yenu
 
Matajiri na serikali yao, masikini na nchi Yao. Harafu masikini anaonekana sio mzalendo ila tajiri ndo mzalendo.
Sifa kuu ya serikali ya matajiri kuwanunua viongozi wakidini na kisiasa na vyombo vya habari na wanahabari ili. kumsifia na kumwamdika vizuri kiongozi wanae mkontrol hilo lipo Dunia nzima pale matajiri wanapoimiliki serikali
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom