Matajiri na serikali yao, masikini na nchi Yao. Harafu masikini anaonekana sio mzalendo ila tajiri ndo mzalendo.
Sifa kuu ya serikali ya matajiri kuwanunua viongozi wakidini na kisiasa na vyombo vya habari na wanahabari ili. kumsifia na kumwamdika vizuri kiongozi wanae mkontrol hilo lipo Dunia nzima pale matajiri wanapoimiliki serikali