Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Juzi kati nkipita mitaa ya posta, huku dar, maeneo karibu na benki kuu nikaona jengo jeupe limeandikwa freemasons hall, nkajisemea akilini, mitandaoni watu wanasema Freemason wanaabudu shetani na ukijiunga huko unapata utajiri, dooh nikaangalia vizuri ndani ya fensi ya ile jengo nkaona Passo, statlet, escudo na magari yanayofanana na hayo yamepaki nje..nkasema wenye haya magari lazma watakua ni member wa freemason coz wamepaki ndani ya fens ya jengo
Nkaona huu upumbavu, bora ukope au u-hustle mwenyewe ununue paso, sasa unamwabudu shetani, unatoa kafara za damu ya watu, hlf unaendesha Passo, Sasa si bora uwe raia wa kawaida
Nkaona huu upumbavu, bora ukope au u-hustle mwenyewe ununue paso, sasa unamwabudu shetani, unatoa kafara za damu ya watu, hlf unaendesha Passo, Sasa si bora uwe raia wa kawaida